Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Pasi ya Jorginho na goli la Tammy inaweza kuwa ni golilililopatikana kwa partnership ya kiufundi sana ya msimu. Jorginho alidai waliifanyia kazi kwenye mazoezi na mpira ulipomuendea kwa style ile aliamua kujaribu na akapatia. Naye Tammy alidai alijua mpira unakuja kwa style hiyo kwa hiyo yeye alihakikisha goli liko sawa na mpira ulipomfikia aliusindikiza kunakotakiwa kabla defender na kipa hawajashtuka. Defender na golie walikuja kushtuka wakati mpira uko kimiani
The best premium league goal of the season so far

Nilipokuwa nikiangalia Game yetu SS walionesha highlights ya EPL ya game moja ya vibonde wamefunga Goli yani hilo ni goli of the Decade.

Tokea lile goli la Zidane la Fainali ya CL basi ndiyo nimeliona juzi! Sina uhakika kama walikuwa Westham wale au Timu gani.
 
  1. Co-commentator Alan Smith described Jorginho's assist as the "pass of the season".
  2. Newcastle legend Alan Shearer has hailed Jorginho’s pass for Abraham as the pass of the season.
  3. 'The ball from Jorginho for Tammy Abraham was out of this world': Ex-Spurs striker Garth Crooks
 
Team of the week
1totwcrooksgw11.jpg
 
Shabiki moja wa Chelsea adai hivi
We need to sign phenomenon SOYUNCU from Leicester. This defender is absolutely best. I can compare him to van djik.then we sell Rudiger.SOYUNCU is 24 years old a very fresh guy. Rudiger is 27 but injuries have started catching him SOYUNCU deserves to be in the back four of team of the week.
 
Huyu Leicester City ujasiri huu anautoa wapi?
Mwanzoni nilizani ni nguvu za soda ila sasa imedhibitika nguvu ya Brendan Rodgers ni halisi na Leicester city watamaliza top 4, sasa hao majirani itabidi kweli wapambane na akina Bournemouth na Shefield united kugombania nafasi za 5-7
 
Frank anapaswa atafute funguo ya kuzifunga top 6 hawa wadogo hakuna atakaye pona soka tunalopiga ni zito kwao lazima watoe tu hakuna namna ,blue is the colour ,blues pride of London .
Mkuu top 6 iliyotupiga ni Liverpool tu!!
 
Yani wewe jamaa bhana! Acha visa kwahiyo Manure sio Top 6 tena au?
Sisi tunawawazia liverpool hao manure tunawazidi point 10 na hao shoga zao asenane tunawazidi point 6! So hatuwafikirii tena watukome ( kwa sauti ya Ally kiba)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom