Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Unakumbuka nini kutokana na picha hii ?
72627406_549878139108159_6362649408318243731_n.jpeg
 
Huyo hayumo top 6 now!!

Anashika nafasi ya 11
top 6 haina maana hiyo, labda umeanza kujua mpira msimu huu
Leicester city alipochukua ubingwa 2016 bado hakuwekwa kwenye top 6
Chelsea iliposhika namba 10 mwaka huo huo haikuondolewa kwenye top 6
Timu ya top 6 haiondolewi kwenye hiyo orodha kwa mechi 11 au performance ya msimu mmoja
Top 6 ina maana timu 6 bora EPL kwa muda mrefu
Spurs iliwachukua zaidi ya miaka mitano kuingizwa kwenye top 6, kabla spurs haikuwa inacheza vizuri hakukuwa na top 6
 
Chelsea inategemea kumruhusu Giroud na Pedro kuondoka mkataba ukiisha. Pia Batshuayi atauzwa ili kuruhusu safu mpya ya ushambuliaji wa kuja kushirikiana na Tammy Abraham.
Willian naye pamoja na kuwa bado anatakiwa kwenye timu lakini bado hajatia saini kwa mkataba wa mwaka mmoja, yeye anataka miaka miwili
Uongozi wa Chelsea umempa Lampard paundi mil 150 kuboresha safu ya ushambuliaji na wanaolengwa ni Jadon Sancho wa Borussia Dortmund, Wilfred Zaha wa Crystal Palace na Moussa Dembele wa Lyon. Walengwa hasa ni Zaha na Sacho
Pia Chelsea wana mpango wa kuimarisha safu ya ulinzi kwa kumsajili Ben Chilwell LB wa Leicester city na kumnunua Nathan Ake wa Bournemouth kama mkataba wa mauzo unavyoiruhusu Chelsea kumnunua kwa paundi mil 40
 
Huyo Zaha sijui wa nini kwa sasa Chelsea.
 
Kwahiyo siku hizi kuna top 6 sio tena top 4?

Huyo zaha wanini Chelsea? Kitu gani zaha kawazidi pulisic,odoi na willian?Kama Chelsea watafanya biashara hi itakuwa ni biashara kichaa ila sitaki kuamini Kama kweli Chelsea itamsajili zaha tuna management yenye akili sizani watafanya Jambo Kama hili lakini Jambo lingine Chelsea Haina shida na left back ermerson na Alonso wanatosha.Tatizo kuu la Chelsea ni right back hatuna mbadala sahihi wa alzipicueta James bado sio mchezaji wa kumvika kiatu hicho kizito nafasi nyingine ni ya kiungo mkabaji Chelsea inahitaji Sana kiungo mkabaji ataetupa option katika michuano mingi ukiachana na kante maana kante ameshaanza mambo ya injury.Haiwezekani Kila mechi lazima jorginho au kovacic wacheze je wakiumia Nani akachukua nafasi zao?labda hapo kwa bernado Sanchez ndo utakuwa usajili mzuri.
 
Chelsea inategemea kumruhusu Giroud na Pedro kuondoka mkataba ukiisha. Pia Batshuayi atauzwa ili kuruhusu safu mpya ya ushambuliaji wa kuja kushirikiana na Tammy Abraham.
Willian naye pamoja na kuwa bado anatakiwa kwenye timu lakini bado hajatia saini kwa mkataba wa mwaka mmoja, yeye anataka miaka miwili
Uongozi wa Chelsea umempa Lampard paundi mil 150 kuboresha safu ya ushambuliaji na wanaolengwa ni Jadon Sancho wa Borussia Dortmund, Wilfred Zaha wa Crystal Palace na Moussa Dembele wa Lyon. Walengwa hasa ni Zaha na Sacho
Pia Chelsea wana mpango wa kuimarisha safu ya ulinzi kwa kumsajili Ben Chilwell LB wa Leicester city na kumnunua Nathan Ake wa Bournemouth kama mkataba wa mauzo unavyoiruhusu Chelsea kumnunua kwa paundi mil 40
Lol Nathan Ake tulimuuza huyu. Saiv tunamtaka tena...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom