Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Halafu King Ngwaba alikuwa upande wa akina Manure na Arsenali kutusodoa ila sasa anaona Chelsea inafanya vizuri anajifanya hashindi kwenye majukwaa ya majirani ili asiwe mmbeya wakati ligi lipoanza alihamia huku kwetu. Sasa kajipiga ban kwa muda ili tusimuone mbeya wakati tulishamrekodi mwanzoni na posts zake nyingi ziko huko akiungana nao mkono akina Aroon mara Chelsea mechi kumi mara januari Chelsea ikiwa top 6 itachukua ubingwa. Sasa Ngwaba anarudi na gia nyingine mdogomdogo akiwakandia akina manure na Arsenal

Kwahiyo unataka nipingane na uhalisia au?

Comments zangu za mwanzo wa Msimu zinaendana na mwenendo wa Timu yenu wa wakati huo.
That's why nilisema Mtamaliza nafasi ya 6

Comments zangu za sasa zinaendana na mwenendo wa Timu yenu kwa wakati huu uliopo.
That's why ninasema mutamaliza ndani ya Top 3

Na Baadae naweza nikaja na comments zenye mtazamo mwengine ambazo zitaendana na mwenendo wa Timu yenu wa wakati huo.

Lakini ninachowashangaa kwanini Munanilazimisha nibaki na misimamo badala ya reality?
 
Issue sio kuanza first 11, issue ni wachezaji kukaa na kocha muda mrefu na kuijua vizuri falsafa ya kocha. Wacheza hao mnaowaita wazoefu walikaa na Sarri mwaka mmoja akaondoka, akaja Lampard hata msimu haukuisha na wanafanya vizuri. Liverpool na Spurs walikaa na makocha wao Zaidi ya miaka minne kabla hawajaanza kuonyesha matunda ya kuzoeana na kocha wao na kuijua falsafa ya kocha vizuri hapo ndipo penye mada hii ya mcheza kuwa mzoefu haina mantiki
Safi sana
 
Mpira sio boiling point kama inaremain constant

Huwezi kunilazimisha nishikilie mawazo ya mwanzo wa msimu au ya mechi iliyopita

Kila wiki ninasimama na mawazo ya wiki husika

Ni kweli mwanzo wa msimu nilisema Chelsea hamalizi ndani ya Top 4 na Lampard hamalizi msimu! Lakini nilisema hayo kutokana na situation ya wakati huo pale mulipofungwa 4 na Timu mbovu ya Manure.

Lakini sasa Chelsea imebadilika je unataka nikatae mabadiliko? Nikatae reality?

Mimi ni mshabiki wa Mpira sio Mliverpool halisi anayesema Henderson ni bora kuliko Joginho! So wacha niende na uhalisia wa wakati uliopo.

Sasahivi ukiniuliza kuhusu Chelsea nitakwambia anaweza kumaliza Msimu huu juu ya Man City na ni lazima amalize msimu ndani ya 3 bora.

Performance ni graph linapanda na kushuka
Wewe mwongo tena wa karne
Kama unasimaia wiki kwa nini huko mwanzoni mlitabiri mwisho wa msimu. Nyie ni sawa na manabii wa uongo we ukubali tu. Ukitaka kuwa consistence basi tabiri mechi za wiki na msimamo wa ligi kwa wiki hii ya kusema januari Chelsea ikibakia top 6 itachukua ubingwa n inpingana na ulichokiandika hapo
 
Ukimtoa Pulisic hapo Chelsea ni mchezaji gani mwengine aliyekuwa hajakaa Chelsea zaidi ya Msimu mmoja?

Kutokea Academy nako pia ni sehemu ya kukaa kwenye Timu kwa muda mrefu kwani Walicheza Carabao na Europa last season.

NAKUMBUSHA TU:
Msimu mmoja tu unamtosha mchezaji mwenye uwezo kuadapt na Timu/Ligi sawa na mchezaji aliyekaa miaka 4
Tammy, Mason, Tomori, James, wametoka academy na kwenda kwa mikopo katika vilabu mbalimbali. Huwezi kusema kuwa academy team kunaweza kuwajengea Chemistry na wachezaji wa first team. Sijawahi kuwaona wachezaji hao katka mechi za Calabao. The truth you need to know is that they trained in a different team with the first team. They perform well now because they are talented and were able to adapt so quickly.
 
Kwa hilo la kukubali ukweli unaonyesha ukomavu ambao unawashinda wengi bro. Lakini ni vzuri kuchambua mambo kwa kuzingatia factors nyingi ili kutoa statement ambayo ni solid ambayo unaweza kusimama nayo hata nusu msimu angalau
Mpira sio boiling point kama inaremain constant

Huwezi kunilazimisha nishikilie mawazo ya mwanzo wa msimu au ya mechi iliyopita

Kila wiki ninasimama na mawazo ya wiki husika

Ni kweli mwanzo wa msimu nilisema Chelsea hamalizi ndani ya Top 4 na Lampard hamalizi msimu! Lakini nilisema hayo kutokana na situation ya wakati huo pale mulipofungwa 4 na Timu mbovu ya Manure.

Lakini sasa Chelsea imebadilika je unataka nikatae mabadiliko? Nikatae reality?

Mimi ni mshabiki wa Mpira sio Mliverpool halisi anayesema Henderson ni bora kuliko Joginho! So wacha niende na uhalisia wa wakati uliopo.

Sasahivi ukiniuliza kuhusu Chelsea nitakwambia anaweza kumaliza Msimu huu juu ya Man City na ni lazima amalize msimu ndani ya 3 bora.

Performance ni graph linapanda na kushuka
 
Tamyyy
Screenshot_20191103-211954.jpeg
 
Upande mchungu wa VAR
Penalty ya Chelsea haikupaswa iwe penalty, contact ya Jorginho ilikuwa very minimum kiasi cha kupewa penalty
Goli la Firmino lilikuwa goli halali ambalo lmshika kibendera waliashiria ni Offside na VAR wakareview na kukubaliana na uamuzi huo wakati kiukweli Firmino hakuotea
 
Wale wanaokuwa In charge wa VAR ndiyo wanaoharibu kila kitu kuwamislead marefa wa kati kati ya Dimba.

Sisi aliyekuwa in charge wa VAR alikuwa ni Martin Atkinson ambaye ndiye huyuhuyu aliyelikataa goli la Mane against Man United na Juzi kaamua tena kulikataa goli la Firmino.

Huyu jamaa ni Mnazi wa Manure vibayavibaya na ndiye yeye aliyekuwa Akishirikiana na Howard Webb na Antony Taylor kumpa ubingwa Ferguson kwa njia wanazozitaka wao.
 
iIa ile ya mane sema ukweli ilikuwa sio goal cos mane alishika labda hiyo ya firmino unaweza ukasema goal.
 
Pasi ya Jorginho na goli la Tammy inaweza kuwa ni goli lililopatikana kwa partnership ya kiufundi sana ya msimu. Jorginho alidai waliifanyia kazi kwenye mazoezi na mpira ulipomuendea kwa style ile aliamua kujaribu na akapatia. Naye Tammy alidai alijua mpira unakuja kwa style hiyo kwa hiyo yeye alihakikisha goli liko sawa na mpira ulipomfikia aliusindikiza kunakotakiwa kabla defender na kipa hawajashtuka. Defender na golie walikuja kushtuka wakati mpira uko kimiani
The best premium league goal of the season so far
 
Kuna maeneo Kama matatu msimu ujao Chelsea wafanyie kazi ili iwe bingwa

1.BEKI WA KULIA
Alzipicueta ni beki aliyetumika Sana kipindi Cha Conte alicheza game zote za epl lakini pia kipindi Cha sari alicheza karibia game zote ukichanya na umri anaweza kuchoka mapema so Chelsea wanatakiwa kusajili best right defender

2.KIUNGO MKABAJI
Kante siku hizi amekuwa mtu wa pancha lakini pia viungo Kama kovacic na jorginho wamecover nafasi yake vizuri lakini Kama kovacic au jorginho akiumia hakuna mbadala namnukuu lampard "nilitaka niwapumzishe jorginho na kovacic lakini nilikosa wachezaji mbadala wakucheza nafasi hizo" hapa alizungumza baada ya game kuisha dhidi ya man u kombe la carabao.Unaona kabisa Chelsea Haina option nyingi ya kiungo mkabaji ili iwasaidie kwenye michuano mengi na pia management ya Chelsea wameliona hili ndomaana walituma scout wa kumwangalia savic.

3.WINGA
ingawa Chelsea inawatu Kama pulisic,odoi,willian,Pedro ukiangalia vizuri willian na Pedro umri umeenda na team kubwa Kama Chelsea inatakiwa Iwe na strong player from sub until to the first eleven.so Chelsea inahitaji Sana winga mkali wa kuisaidia team.
 
Hapo kwa beki wa kulia kuna yule dogo Reece James anaandaliwa taratibu kuja kuchukua nafasi ya Azp.
Dogo ni mzuri ana offer vitu vingine vya ziada ambavyo Azp hana, mfano timu inapopanda kushambulia dogo ni mzuri wa kupandisha mashambulizi na kupiga kross za uhakika tofauti na azpilicueta. Pia defensively ni mzuri
 
Hiv wewe Chelsea unaichukuliaje? so Chelsea imtegemee James pekee kwenye michuano mengi ?
 
Umesahau golikipa.... nazan mashabiki wa chelsea tunajitoa ufahamu kwa kusema kipa weru ni mzuri.. but ukweli kepa ni kipa mbovu kuwahi kutokea chelsea kama golikipa namba moja....
Tunahitaji golikipa atakae mpe challenge kepa...

Unasema sawa, Azpi akipand hawezi kukabiliana na counter attack, siku akicheza vizuri kidogo ni siku kaamua kutopanda ovyo ovyo
 
Umesahau golikipa.... nazan mashabiki wa chelsea tunajitoa ufahamu kwa kusema kipa weru ni mzuri.. but ukweli kepa ni kipa mbovu kuwahi kutokea chelsea kama golikipa namba moja....
Tunahitaji golikipa atakae mpe challenge kepa...
Kepa ni golie mzuri, wewe ndie mwenye kuona vibaya. Kepa amekuwa akifungwa kwa makossa mengi ya mabeki tena mwanzoni mwa ligi. Kama Kepa ana makjosa ni makossa ya kibinadamu. Huwezi kuwa na makipa wenye level moja, nafasi ya ugolkipa sio kama ya striker, kiungo au mabeki. Kipa hata akicheza mfululizo yeye anakuwa safe Zaidi tofauti na wachezaji wa ndani. Ukimnunua golkipa mzuri usipompa mechi anaondoka, Kepa akiwekwa benchi ataondoka. Karata za magolkipa ndivyo inavyochezswaga. Cabalerro anatosha kwa backup kama Kepa akiumia. We angalia timu zote kubwa kipa namba moja anakuwa mzuri sana na backup anakuwa kipa wa kawaida tu ili akae. Mfano umeweke Degea na Alisson kwenye timu moja hata kama unamlipa vizuri hatakaa
 
Kipa mzuri anajulikana pindi ambapo beki zikiwa mbovu.. lakin huwezo wa kondoa michomo ni mdogo sana .. ukipiga shuti 8 za uwakika golin, kipa mzuri inabidi andoe angalau hata 5.. lakn kepa anaweza kuondoa moja tu

Chelsea tangu kuondoka cech, hatujawah kupata kipa ambae beki zikiwa mbovu yy anaweza kutusaidia..

Hij ndio sbbu degea mara nying anatangazwa kuwa golikipa bora pale wingereza...
Kepa ni golie mzuri, wewe ndie mwenye kuona vibaya. Kepa amekuwa akifungwa kwa makossa mengi ya mabeki tena mwanzoni mwa ligi. Kama Kepa ana makjosa ni makossa ya kibinadamu. Huwezi kuwa na makipa wenye level moja, nafasi ya ugolkipa sio kama ya striker, kiungo au mabeki. Kipa hata akicheza mfululizo yeye anakuwa safe Zaidi tofauti na wachezaji wa ndani. Ukimnunua golkipa mzuri usipompa mechi anaondoka, Kepa akiwekwa benchi ataondoka. Karata za magolkipa ndivyo inavyochezswaga. Cabalerro anatosha kwa backup kama Kepa akiumia. We angalia timu zote kubwa kipa namba moja anakuwa mzuri sana na backup anakuwa kipa wa kawaida tu ili akae. Mfano umeweke Degea na Alisson kwenye timu moja hata kama unamlipa vizuri hatakaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom