Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

MATEO KOVACIC, huenda babu SARRI alikuwa hajajuwa namna nzuri ya kumtumia na kumfanya aonekane kuwa bora zaidi.... Ila SUPER FRANKIE naona amefanikiwa sana katika kumtumia KOVACIC.

He's a master class midfielder, performance ya hali ya juu toka kwake.
Hasa anapomove mpira kwenda kwenye goli la wapinzani, utazani jini
 
Ila kuna yule bwana mkubwa EMERSON, amerejea kutoka kwenye majeruhi lakini shughuli yake upande wa kushoto ilikuwa sio ya mchezo [emoji119][emoji119][emoji119]

Aliwepo kwenye eneo lake pale alipo takiwa kukaba, na alipanda pale alipo takiwa kupanda akasaidie kwenye kushambulia.

HE'S SIMPLY THE BEST
Alonso asugue benchi mpaka ahame akitaka, juzi na Man U angekuwepo Emerson ule ushenzi aliotufanyia Alonso usingekuwepo japo kuna mechi Alonos alitupa pointi zote 3
 
🔵@ChelseaFC have equalled their club record of 7️⃣ consecutive away wins in all competitions, set in their 1988-89 Division 2 promotion-winning season under Bobby Campbell.
✅ Norwich
✅ Wolves
✅ Lille
✅ Southampton
✅ Ajax
✅ Burnley
✅ Watford pic.twitter.com/9bTDYM1agd

— Sky Sports Statto (@SkySportsStatto) November 2, 2019
 
Chelsea Against Watford Player Ratings
Best ratings
  1. Kovacic 9
  2. Zouma 8
  3. Jorginho 8
  4. Tammy 8
  5. Pulisic 8
Good rating
  1. Keppa 7
  2. Tomori 7
  3. Emerson 7
  4. Mount 7
  5. Willian 6
  6. Batshuayi 6
Average ratings
  1. Azpi 5
  2. Odoi 5
 
Ivi tunawezaje kufanyaje vizur wakati tumezuiwa kusajili ni uchawi au nini?


Adui muombee njaa lakin jaman tufike hatua kwenye maombi yetu tuwakumbuke na arsenal pamoja woman United

Kutokusajili Msimu mmoja hakuifanyi Timu ipoteee!

Last season spurs hakusajili na alifanya vizuri

Masimu huu Chelsea hajasajili na anafanya vizuri

Pia Liverpool nayeye msimu huu hajasajili kama Chelsea na anafanya Vizuri

Usije kushangaa Chelsea itakapokuja kisajili next season ndiyo wakaboronga kwani Hii Timu ya sasa ambayo imeshatengenezeka italazimika kupanguka na kuingiza New Face ambazo zitahitaji muda kuadapt
 
Chama langu la mda mrefu Sana hili

Wapi Ntuzu,wapi mentor wapi kalou

Last time niliachaga kuifatilia Chelsea wakati mou anaboronga aisee nilikuwa nachukia hatari .

Nilishawahi vunja simu yangu kisha matokeo mabovu[emoji1787][emoji2]

Acheni tu

Aliposepa mou akaja sarri nikawa naifuatilia kwa kuibia sio kila mechi ila nae nasikia alikuwa mibange tu .[emoji1787]

The day Wamemleta Super Frankie nikasema acha nione legend atafanya ninj

Maana namjua Frank mzee wa basic football hawezi tuangusha

Nimemfuatilia nimegundua jamaa na kipaji Cha soka so nitastick kwa chama langu #KTBFH

NI wakati Sasa kuwaleta LEGENDS wa clubs kuassits mafanikio ya timu kama walivyofannya wakati wanacheza

Jana nimeuona JT(captain, leader,legend) bench la ufundi la ASTON VILLA nimesikitika kwa matokeo aliyoyapata

Ila naamini atakuwa kuwa kocha mzuri siku akipewa mikoba somewhere
 
Jorginho & Kovacic vs Watford:

Jorginho:
[emoji736]138 touches
[emoji736]117 accurate passes
[emoji736]90% passing accuracy
[emoji736]11 long balls attempts (7 accurate)

Kovacic:
[emoji736]154 touches
[emoji736]134 accurate passes
[emoji736]95% passing accuracy
[emoji736]12 long ball attempts (11 accurate)

World Class [emoji634][emoji1082] #CFC

Hapa Kante na RLC wapo nje. Hiiiiiiiii!!!!!!!
IMG_20191103_071359.jpeg
 
Just to let you know...

Tammy Abraham is one goal away from equalling Marcus Rashford’s best ever Premier League goalscoring season.

We’re in November.
 
Christian Pulisic na rekodi yake ya ufungaji magoli ya ligi kwa msimu

2015/16: 9 games, 2 goals
2016/17: 29 games, 3 goals
2017/18: 32 games, 4 goals
2018/19: 20 games, 4 goals
2019/20: 8 games, 4 goals

Tayari keshaifikia rekodi yake bora akiwa na mechi nane tu.
IMG-20191103-WA0005.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom