Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nadhani somo limeanza kueleweka sasa, hivi wale wenye kusema "NAWAPA MECHI KUMI TU " bado wapo ???

Halafu ni hivi, LAMPARD amechezesha wachezaji takribani 7 wenye umri WA miaka 21 au chini ya hapo kwenye kikosi cha Chelsea...

THE FUTURE IS BRIGHT [emoji364]
 
Ila kuna yule bwana mkubwa EMERSON, amerejea kutoka kwenye majeruhi lakini shughuli yake upande wa kushoto ilikuwa sio ya mchezo [emoji119][emoji119][emoji119]

Aliwepo kwenye eneo lake pale alipo takiwa kukaba, na alipanda pale alipo takiwa kupanda akasaidie kwenye kushambulia.

HE'S SIMPLY THE BEST
 
MATEO KOVACIC, huenda babu SARRI alikuwa hajajuwa namna nzuri ya kumtumia na kumfanya aonekane kuwa bora zaidi.... Ila SUPER FRANKIE naona amefanikiwa sana katika kumtumia KOVACIC.

He's a master class midfielder, performance ya hali ya juu toka kwake.
Babu sari hakuwa kocha yule alikuwa bashite mmoja mzuri sana sema alikuwa akibebwa sana na miguu ya Eden hazard

Bila hazard babu sari alikuwa mwepesi sana
 
MATEO KOVACIC, huenda babu SARRI alikuwa hajajuwa namna nzuri ya kumtumia na kumfanya aonekane kuwa bora zaidi.... Ila SUPER FRANKIE naona amefanikiwa sana katika kumtumia KOVACIC.

He's a master class midfielder, performance ya hali ya juu toka kwake.
Mimi napata shaka endapo Kante akipona hiyo patnership huenda isiwepo au sijui Lampard atatumia mfumo gani kuwa accomodate wote watatu
 
Mkuu hiki kitendawili ni kigumu Sana kupata jibu lake... Wapenzi WA Chelsea kila tukifikiria partnership ya KOVACIC + JORGENIUS jinsi ambavyo imekubali na kufanya vizuri mpaka sasa.

Halafu tukifikiria kurejea Kwa kante, hatujui kocha atawatumiaje hawa viungo kwa wakati mmoja.

Hii homework tumuachie SUPER FRANKIE, Nadhani atakuwa na majibu mazuri kuhusu suala hili
Mimi napata shaka endapo Kante akipona hiyo patnership huenda isiwepo au sijui Lampard atatumia mfumo gani kuwa accomodate wote watatu
 
Madrid wakimuangalia kovacic machozi yanawadondoka. Jamani embu bodi wapitie mkataba wa mauziano ya kovacic. Madrid wajanja wajanja usikute wameweka kipengele cha kurudisha pesa na kafidia wamrudishe kovacic.
pale tuliramba dume.
Halafu sisi madrid ni watani zetu. Walitupiga kwa Morata na sisi tukawapiga kwa thibaut. (
 
So far timu yetu imefanya vizuri sana mpaka sasa, tuna kila sababu ya kujivunia performance ya wachezaji wetu.

Wale majeruhi watakapo rejea wote na kuwa fit [emoji817][emoji817][emoji817], squad depth itaongezeka na kupelekea ushindani kuwa mkubwa zaidi kikosini.

THE FUTURE IS BRIGHT [emoji364]
 
Mkuu hiki kitendawili ni kigumu Sana kupata jibu lake... Wapenzi WA Chelsea kila tukifikiria partnership ya KOVACIC + JORGENIUS jinsi ambavyo imekubali na kufanya vizuri mpaka sasa.

Halafu tukifikiria kurejea Kwa kante, hatujui kocha atawatumiaje hawa viungo kwa wakati mmoja.

Hii homework tumuachie SUPER FRANKIE, Nadhani atakuwa na majibu mazuri kuhusu suala hili
Mbona aliwachezesha wote watatu kwenye mechi dhidi ya Liverpool supercup na mechi iliisha 2 kwa 2 ila Liverpool alizidiwa Sana na Chelsea me nafikiri lampard awe anawatumie KOVACIC + GORGINHO + KANTE kwenye game ngumu au dhidi ya timu kubwa wenzetu.
 
Ivi tunawezaje kufanyaje vizur wakati tumezuiwa kusajili ni uchawi au nini?

Adui muombee njaa lakin jaman tufike hatua kwenye maombi yetu tuwakumbuke na arsenal pamoja woman United
Mwantesa Utd Wajinga sana, bora hata Arsenal ni waelewa kidogo.

Kila mtaa hujisifu "Chelsea ni wake zetu wala hamna jeuri yoyote kwenu Man Utd"
 
Sema bado ana utoto mwingi maana angekuwa makini leo hii angeweka magoli mawili yote nyavuni.
Ingekuwa huzuni kubwa sana endapo TAMMY angeshindwa kuitendea haki Ile pasi ya JORGENIUS....

That was an assist of the season, no doubt [emoji119][emoji119][emoji119]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom