Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Jorginho & Kovacic vs Watford:

Jorginho:
[emoji736]138 touches
[emoji736]117 accurate passes
[emoji736]90% passing accuracy
[emoji736]11 long balls attempts (7 accurate)

Kovacic:
[emoji736]154 touches
[emoji736]134 accurate passes
[emoji736]95% passing accuracy
[emoji736]12 long ball attempts (11 accurate)

World Class [emoji634][emoji1082] #CFC

Hapa Kante na RLC wapo nje. Hiiiiiiiii!!!!!!!View attachment 1252491

Nashauri tu punguzeni Mbwembwe musije mukawa kama Manure.

Manure waliposhinda Vijimechi Viwili ikisha wakaja Wakawafunga na Nyinyi, Kuna watu tulishaanza kupotea kwa Kelele zao kila Nyuzi wapo! Sasahivi nenda kwenye Uzi wao Washaanza kumtukana Wan Bisaka Kuwa hana Msaada wowote wakati walikuwa wakimsifia kila sekunde ya wakati.

Kwahiyo na Nyinyi bora kwanza Munyamaze at least misimu 2 Lampard aprove.

Munamkumbuka Brendan Rodgers alipokuwa Liverpool mwanzo (2013/14)?

Alifukuzana na City kidole kwa Kidole mpaka mwechi ya mwisho ya Msimu tukadhani tumepata bonge la Kocha!!!

Kudadadeki msimu uliofuata alitaka kutushusha daraja utadhani siye yule wa Msimu uliyepita.
 
Rodgers alikua mzuri na bado ni kocha mzuri..

Angalia leicester wanavyocheza soka zuri la kuvutia..

Tatizo liverpool iliuza majembe bila replacement ya maana (Sterling & Suarez out) ..

Sasa klopp na umafia wake wote embu awauze wachezaji wawili tu pale mbele salah & Mane, uone chamoto
 
Miongoni mwa sifa za kocha bora ni Kuuza mchezaji Mzuri na ukamreplace kwa mchezaji Mzuri
 
Kutokusajili Msimu mmoja hakuifanyi Timu ipoteee!

Last season spurs hakusajili na alifanya vizuri

Masimu huu Chelsea hajasajili na anafanya vizuri

Pia Liverpool nayeye msimu huu hajasajili kama Chelsea na anafanya Vizuri

Usije kushangaa Chelsea itakapokuja kisajili next season ndiyo wakaboronga kwani Hii Timu ya sasa ambayo imeshatengenezeka italazimika kupanguka na kuingiza New Face ambazo zitahitaji muda kuadapt
Tottenham walishakaa zaidi ya miaka mi4 na kuzoeana vizuri katika football consistency wakiwa na Pochetinho pekee.

Halikadhalika Liverpool ilikuwa ishapata uzoefu mkubwa chini ya Klop kwa zaidi ya miaka mi3 nyuma wakiwa na wakongwe wengi tofauti na Lampard aliyejijenga kwa muda mchache kwa wachezaji wengi toka kikosi B.

So hoja yako haijashiba ipasavyo labda kajinoe zaidi ndipo uje tena kujitetea vzr.
 
Inategemea wanamsajili nani, wakimsajili type ya VVD haitaji hata mechi mbili kuadapt
 
Madrid wakimuangalia kovacic machozi yanawadondoka. Jamani embu bodi wapitie mkataba wa mauziano ya kovacic. Madrid wajanja wajanja usikute wameweka kipengele cha kurudisha pesa na kafidia wamrudishe kovacic.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kova mwenye hana mpango wa kurudi tena huko
 
Rodgers alikua mzuri na bado ni kocha mzuri..

Angalia leicester wanavyocheza soka zuri la kuvutia..

Tatizo liverpool iliuza majembe bila replacement ya maana (Sterling & Suarez out) ..

Sasa klopp na umafia wake wote embu awauze wachezaji wawili tu pale mbele salah & Mane, uone chamoto
Sasa hivi uaza tu Mane kwa sababu Mane ndio chanzo cha magoli mengi kwa Liverpool, mbele watakuwa butu
 
Ivi tunawezaje kufanyaje vizur wakati tumezuiwa kusajili ni uchawi au nini?

Adui muombee njaa lakin jaman tufike hatua kwenye maombi yetu tuwakumbuke na arsenal pamoja woman United

Hakika. tatizo lao moja wao hawajawahi iombea timu yetu inapopitia majanga.

But mpira ni burudani. Lets pray for them
 
Jorginho & Kovacic vs Watford:

Jorginho:
[emoji736]138 touches
[emoji736]117 accurate passes
[emoji736]90% passing accuracy
[emoji736]11 long balls attempts (7 accurate)

Kovacic:
[emoji736]154 touches
[emoji736]134 accurate passes
[emoji736]95% passing accuracy
[emoji736]12 long ball attempts (11 accurate)

World Class [emoji634][emoji1082] #CFC

Hapa Kante na RLC wapo nje. Hiiiiiiiii!!!!!!!View attachment 1252491
Ile pass ya Jorghihno sio nchi hii ..ni balaa..
 
Nashauri tu punguzeni Mbwembwe musije mukawa kama Manure.

Manure waliposhinda Vijimechi Viwili ikisha wakaja Wakawafunga na Nyinyi, Kuna watu tulishaanza kupotea kwa Kelele zao kila Nyuzi wapo! Sasahivi nenda kwenye Uzi wao Washaanza kumtukana Wan Bisaka Kuwa hana Msaada wowote wakati walikuwa wakimsifia kila sekunde ya wakati.

Kwahiyo na Nyinyi bora kwanza Munyamaze at least misimu 2 Lampard aprove.

Munamkumbuka Brendan Rodgers alipokuwa Liverpool mwanzo (2013/14)?

Alifukuzana na City kidole kwa Kidole mpaka mwechi ya mwisho ya Msimu tukadhani tumepata bonge la Kocha!!!

Kudadadeki msimu uliofuata alitaka kutushusha daraja utadhani siye yule wa Msimu uliyepita.
Huwezi kuacha kusifia kizuri eti ukisema ngoja kesho tuone itakuaje. Wakati ni sasa wamefanya vizuri wape pongezi zao zinazostahili. Hayo ya baadae itajulikana wakati ukifika.
 
Tottenham walishakaa zaidi ya miaka mi4 na kuzoeana vizuri katika football consistency wakiwa na Pochetinho pekee.

Halikadhalika Liverpool ilikuwa ishapata uzoefu mkubwa chini ya Klop kwa zaidi ya miaka mi3 nyuma wakiwa na wakongwe wengi tofauti na Lampard aliyejijenga kwa muda mchache kwa wachezaji wengi toka kikosi B.

So hoja yako haijashiba ipasavyo labda kajinoe zaidi ndipo uje tena kujitetea vzr.

Ukimtoa Pulisic hapo Chelsea ni mchezaji gani mwengine aliyekuwa hajakaa Chelsea zaidi ya Msimu mmoja?

Kutokea Academy nako pia ni sehemu ya kukaa kwenye Timu kwa muda mrefu kwani Walicheza Carabao na Europa last season.

NAKUMBUSHA TU:
Msimu mmoja tu unamtosha mchezaji mwenye uwezo kuadapt na Timu/Ligi sawa na mchezaji aliyekaa miaka 4
 
Sasa hivi uaza tu Mane kwa sababu Mane ndio chanzo cha magoli mengi kwa Liverpool, mbele watakuwa butu

Chanzo cha Magoli sio Mane Mkuu!

Mane Magoli mengi anayofunga ni yaliyokwisha kutengenezwa yeye anamalizia tu.

Watengenezaji wetu wa Magoli kwa asilimia 70% ni Fullbacks TAA na Robertson.
Asilimia 30% zilizobakia ni Firmino na Salah.

Kwahiyo hata akiuzwa Mane basi tutaendelea kuwa vizuri tu.

Au ushasahau kuwa tuliambiwa tutashuka Daraja baada ya kuuzwa Coutinho?

Sasa kama aliondoka Coutinho na tukafanya uzuri zaidi kulipo alipokuepo, basi akiondoka Mane tutafanya uzuri zaidi.
 
Tatizo huyo mtoto ubishoo mwingi...

Atajirekebisha tu. Ngoja afanye ubisho huku pulisic anafanya yake.

Mpaka sasa nimeanza kumsahau hazard na sioni Gap kutokwepo kwake darajani kutokana na kazi kubwa anayofanya Kovacic, Jorginho, pulisic Tomori na wengine. Tho Hazard was special one na nitazidi kumpenda sana
 
Frank anapaswa atafute funguo ya kuzifunga top 6 hawa wadogo hakuna atakaye pona soka tunalopiga ni zito kwao lazima watoe tu hakuna namna ,blue is the colour ,blues pride of London .

Naamini analifanyia kazi mkuu. Soon mambo yatakuwa pouwa
 
Tottenham walishakaa zaidi ya miaka mi4 na kuzoeana vizuri katika football consistency wakiwa na Pochetinho pekee.

Halikadhalika Liverpool ilikuwa ishapata uzoefu mkubwa chini ya Klop kwa zaidi ya miaka mi3 nyuma wakiwa na wakongwe wengi tofauti na Lampard aliyejijenga kwa muda mchache kwa wachezaji wengi toka kikosi B.

So hoja yako haijashiba ipasavyo labda kajinoe zaidi ndipo uje tena kujitetea vzr.
Hebu nitajie hao wachezaji walioanza jana ambao wamepandishwa na kocha, huwezi sema kepa, azpi, zouma, emerson, jorginho, kamanda kova, willian na pulisic ni chipukizi wasio na uzoefu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom