OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Iyo save ya mwisho yeye ndo katoa?KEPPA aongezewe mshahara
Iyo save ya mwisho yeye ndo katoa?KEPPA aongezewe mshahara
KEPPA aongezewe mshahara
Oyooo
Sio anaweza, ameisha beba hiyo namba, Odoi atabaki kuwa sub kwa maana Pulisic anachoka haraka kama WillianOdoi anatakiwa akaze sana ..Capitaini anaeza beba namba ake..
Kabisa kabisa
Tayari Pulisic ameshampokonya namba inabidi afight hadi lampard amfikirie tenaUwepo wa pulisic uwanjani ni hatare sana kuliko bwana maringo odoi
Baba KANTE anauguza injury yake kwa tabasamu vijana wanamfurahisha
Ila Odoi naona akitokea sub anakuwa na wenge sana.Sio anaweza, ameisha beba hiyo namba, Odoi atabaki kuwa sub kwa maana Pulisic anachoka haraka kama Willian
Ila Odoi naona akitokea sub anakuwa na wenge sana.
Kijana ana goli nne na assist za kutosha
Odoi siku zote ni mzuri zaid akianza lakin akitokea sub huwaga hawezi kabisa
Katika jukwaa hili hakuna mtu mwenye haki ya kuniita mimi akili fupi mkuunilishasema hapo juu rudia tena kusoma
99.9% ya raia wa humu ni vilaza wa kutupa,aseme hivyo mtu wa Liver au Utd ambao wana uelewa wa soka,hata ukiingia ktk majukwaa yao unaona watu wanazungumza vya maana sio hapamunaotaka kuaminisha watu munavyoviamini
utalikuta jitu lipo bize linafananisha Tomori na VVD🤭🤭
![]()
Uwepo wa pulisic uwanjani ni hatare sana kuliko bwana maringo odoi
MATEO KOVACIC, huenda babu SARRI alikuwa hajajuwa namna nzuri ya kumtumia na kumfanya aonekane kuwa bora zaidi.... Ila SUPER FRANKIE naona amefanikiwa sana katika kumtumia KOVACIC.
He's a master class midfielder, performance ya hali ya juu toka kwake.