Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,935
- 27,196
Huyu Ben Foster utafikiri siyo yule alokua anatoa boko Man Utd. Kweli nimeamini makipa ni kama mvinyo jinsi inavyozidi kukaa ndio utamu unaongezeka.
Anafanya kazi yake vizuri. Mount ataua mtu
Anafanya kazi yake vizuri. Mount ataua mtu

