Hatutaki kupoteza mda kwenye makombe ya mbuzi
Kwa hali yenu ya sasa hayo makombe ya mbuzi yalikua yawe ndio target yenu, Hamuna uwezo wa kushindana kwenye Champion League wala EPL. Ila endeleeni kujidanganya.
Hatutaki kupoteza mda kwenye makombe ya mbuzi
Arsenal gani wakati timu yake inateketea yeye yuko mtaani anapita amevaa kanga mojaIvi hujui Kuwa anashabikia Arsenal?
Mzee wa busara nadhani ungewaambia hao wenyewe unaowaona tumewakwaza. Wao ndio waanzilishi wa yote haya sasa tukijibu mapigo tunaonekana sisi ndio waanzilishi.
Halafu nadhani sijamwambia mtu kitu kibaya kumuita akili fupi ni ukweli sasa kama kusema ukweli ni kumkwaza mtu natanguliza samahani.





ingoja nikae kimya

Mara Ole soskjar ni mbovu... sawa hatujakataa, Wachezaji wao pia ni wabovu kuliko wenu, Ila tunauliza je mlivokutana Head to Head vipi ilikuaje????
Sisi tunajua mmecheza game mbili thn goal aggregate ni 6-1, ..bado tu unashindwa kuwapa credit !!
Kweli humu kuna viazi nimeamini![]()

hayanaga point aiseeh yaani mtu kukubali mmezidiwa hawezi anabaki kuleta visingizio tele🤭🤭


Wanaume tumekaa tunajadili timu yetu, wewe unapita mbele yetu umevaa kanga moja imelowa maji








Ushabiki wa mpira sio matusi wala kukwaza tujadili mpira matusi na makwazo tuweke pembeni-ni mimi mzee wa busara

wapo katika stage za ukuaji mkuu🤣🤣🤣🤣waache maana wasipopitia now hii stage watakuja kuipitia ukubwani katika style nyingine kabisa
hapo ndio huchelewi kuona mtu alikuwa vizuri utotoni ila ukubwani anakuja kuwa bwabwa




Don't panic mzee baba ndo utani ulivyo kwani ukiitwa akili fupi ndo unakuwa akili fupi kweli?



Mimi nikiisha ona mtu ana pumba na anadakia tu uzi hata hajulikani ni timu gani anashabikia namuacha tu namchukulia kama vile ha exist
Wakati wenzenu England Epl mechi ikiisha makocha wanakumbatiana na wachezaji wanapongezanaTatizo hawajui utani hawa jamaa.....yaaninavuta picha kama tungekuwa tunaonana watu wa humu wangekuwa wa kwanza kurusha ngumi![]()
![]()
![]()
Nyie ni manyumbu tu. Ndo maana na leo mmekula tena cha nguruweTulia dawa dawa ikuingie, this is man united!




Kikosi kizuri tushindwe sisi tuEmerson leo anaanzaView attachment 1252190
naona Lamps anamuamini sana dogo acha tuone impact yake leoEmerson leo anaanzaView attachment 1252190
Kama Man City angepoteza halafu sisi tukishinda tungeenda nafasi ya piliHawa Liverpool na Man City wanabahati mno, dakika za lala salama ndo wanachomoa!






Amekuja wakati mzuri Alonso ameanza kuzingua kwa kuwazawadia Man U goli jtanoEmerson leo anaanzaView attachment 1252190