Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hayo ya kubeba au kutokubeba unasema wewe hakuna sehemu mimi nimesema tunabeba kombe lolote.

LEVELS
Sasa kwa akili yako na lampard UEFA atabeba hata wakina azipilikueta wakikaa benchi? Labda muibe mshukur Mungu mpo na lille na vi ajax
 
We si mshabiki wa arseshit ? . Mbona unakuwa kama kahaba ? , mara Manure mara nini . Tuliza mshono
Hapo haina haja ya kutumia kichwa kilicholegea ,najua msg sent
Chamsingi ni kukubali matokeo pia mujifunze kusifia opponents pindi munapofungwa....

Jamaa wamekutandika in & out baada ya kusema wamewazidi kimbinu unakuja na utetezi wa sijui Tomori angekuwepo sijui tuna UEFA
 
We si mshabiki wa arseshit ? . Mbona unakuwa kama kahaba ? , mara Manure mara nini . Tuliza mshono
Mimi mwenyewe namshangaa anaisema chelsea utafikiri arsenal yake inafanya vizuri wakati wao wametolewa liver lakini bado wanazidi kupiga kelele huku
 
Wakikuitaga akili fupi unakuja kutoa povu. Nakwambia soma tena nilicho andika ukielewe usikaze kichwa dogo.

Katika jukwaa hili hakuna mtu mwenye haki ya kuniita mimi akili fupi mkuu nilishasema hapo juu rudia tena kusoma

99.9% ya raia wa humu ni vilaza wa kutupa,aseme hivyo mtu wa Liver au Utd ambao wana uelewa wa soka,hata ukiingia ktk majukwaa yao unaona watu wanazungumza vya maana sio hapa munaotaka kuaminisha watu munavyoviaminiutalikuta jitu lipo bize linafananisha Tomori na VVD🤭🤭
 
Don't panic mzee baba ndo utani ulivyo kwani ukiitwa akili fupi ndo unakuwa akili fupi kweli?
Katika jukwaa hili hakuna mtu mwenye haki ya kuniita mimi akili fupi mkuu nilishasema hapo juu rudia tena kusoma

99.9% ya raia wa humu ni vilaza wa kutupa,aseme hivyo mtu wa Liver au Utd ambao wana uelewa wa soka,hata ukiingia ktk majukwaa yao unaona watu wanazungumza vya maana sio hapa munaotaka kuaminisha watu munavyoviaminiutalikuta jitu lipo bize linafananisha Tomori na VVD
 
We si mshabiki wa arseshit ? . Mbona unakuwa kama kahaba ? , mara Manure mara nini . Tuliza mshono

Sasa hii ndio aina ya watu wa humu hahahahaaaa ni full vilaza yaani....ni agharabu kuona mashudu kama haya kule THE GUNNERZLIVER🤭na UTD....

Ni utoto unawasumbua
 
Tulikuwa tulichezesha timu B ya akina Odoi mpaka wakakulia Europa na sasa wako first team ya EPL. Europa ni mashindano ya mazoezi penda usipende. Timu zilizochoka ndizo zinashindania hilo kombe. Na mtacheza huko back2back mpaka mteremshwe daraja. Ikitokea hivyo tunawakaribisha mje mvae rangi ya blue, rangi ya matumaini, rangi ya ushindi

Wacha uongo wewe
 
Katika jukwaa hili hakuna mtu mwenye haki ya kuniita mimi akili fupi mkuu nilishasema hapo juu rudia tena kusoma

99.9% ya raia wa humu ni vilaza wa kutupa,aseme hivyo mtu wa Liver au Utd ambao wana uelewa wa soka,hata ukiingia ktk majukwaa yao unaona watu wanazungumza vya maana sio hapa munaotaka kuaminisha watu munavyoviaminiutalikuta jitu lipo bize linafananisha Tomori na VVD
Ukifanikiwa kuniletea huyo aloanzisha mjadala wa kuwafananisha Tomori na VVD niakuunga mkono kumzabua mabao otherwise unaleta habari za kutunga.

Narudia tena wewe akili fupi kasome nilicho andika na ukielewe.
 
Mimi nikiisha ona mtu ana pumba na anadakia tu uzi hata hajulikani ni timu gani anashabikia namuacha tu namchukulia kama vile ha exist
 
Ukifanikiwa kuniletea huyo aloanzisha mjadala wa kuwafananisha Tomori na VVD niakuunga mkono kumzabua mabao otherwise unaleta habari za kutunga.

Narudia tena wewe akili fupi kasome nilicho andika na ukielewe.
Ushabiki wa mpira sio matusi wala kukwaza tujadili mpira matusi na makwazo tuweke pembeni-ni mimi mzee wa busara
 
Mzee wa busara nadhani ungewaambia hao wenyewe unaowaona tumewakwaza. Wao ndio waanzilishi wa yote haya sasa tukijibu mapigo tunaonekana sisi ndio waanzilishi.

Halafu nadhani sijamwambia mtu kitu kibaya kumuita akili fupi ni ukweli sasa kama kusema ukweli ni kumkwaza mtu natanguliza samahani.
 
Ukifanikiwa kuniletea huyo aloanzisha mjadala wa kuwafananisha Tomori na VVD niakuunga mkono kumzabua mabao otherwise unaleta habari za kutunga.

Narudia tena wewe akili fupi kasome nilicho andika na ukielewe.

Oyaa umekomaa na 'Akili Fupi' why?
 
Huyo Radika ana msongo wa mawazo maana aliifuata kushabikia Man U wakati ule ikiwa timu kubwa sasa imekuwa tu sawa na akina Newcastle, wee angalia quality ya kocha waliomsajili, wachezaji walionao bomu bomu tupu

Utani wako umezidi! Mihela ya Maguire pekee unaweza kuinunua Newcastle United
 
Mzee wa busara nadhani ungewaambia hao wenyewe unaowaona tumewakwaza. Wao ndio waanzilishi wa yote haya sasa tukijibu mapigo tunaonekana sisi ndio waanzilishi.

Halafu nadhani sijamwambia mtu kitu kibaya kumuita akili fupi ni ukweli sasa kama kusema ukweli ni kumkwaza mtu natanguliza samahani.
Safi kabisa kijana kwa kutanguliza samahani-uliyemwomba samahani asipoipokea ni yeye na Mungu wake ww umeshajisafisha roho na nafsi- by mzee wa busara
 
Huyo Radika ana msongo wa mawazo maana aliifuata kushabikia Man U wakati ule ikiwa timu kubwa sasa imekuwa tu sawa na akina Newcastle, wee angalia quality ya kocha waliomsajili, wachezaji walionao bomu bomu tupu
Mara Ole soskjar ni mbovu... sawa hatujakataa, Wachezaji wao pia ni wabovu kuliko wenu, Ila tunauliza je mlivokutana Head to Head vipi ilikuaje????

Sisi tunajua mmecheza game mbili thn goal aggregate ni 6-1, ..bado tu unashindwa kuwapa credit !!

Kweli humu kuna viazi nimeamini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom