DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,878
Katika washangiliaji wa liver viazi basi wewe ndio rais wao,[emoji23] [emoji23] ukicheza futuhi akili nazo zinakuwa vivyo hivyo.
Huezi mkuta shabiki hasa wa liverpool anakuwa na akili mbovu kama zako.....jifunze kwa wenzio,unawadhalilisha dogo