Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

How much does Molinga mwenye rasta cost us compared to Pepekale?
Jijibu mwenyewe kwani wewe ndio unajua Moringa mwenye rasta kasajiliwa lini na ana muda gani chelsea,
Then Nico Pepe kasajiliwa lini na ana muda gani Arsenal....usifananishe Pepe na upuuzi.....
 
Batman jana kafanya vizuri lakin kamwe usije ukamuamin batshuayi, kuna kipindi utataman mpka apate majeruhi ya mwaka mzima... nakukumbusha kamwe kamwe usimuamin batshuayi...
Batman hajui ku control mpira, hajui ku dribble, changa hajui na hata kijiposition ni 50%.. Ndio maana kila anapoenda anakuwa na poor performance
Cc. Southern Highland
 
Jijibu mwenyewe kwani wewe ndio unajua Moringa mwenye rasta kasajiliwa lini na ana muda gani chelsea,
Then Nico Pepe kasajiliwa lini na ana muda gani Arsenal....usifananishe Pepe na upuuzi.....
Teh Arsenal Fans u ok mentally? Kama uliyajua yote haya kwa nn ukaanza kumponda? Huo unaouita upuuzi jana umenipa point tatu hicho kipepe kimekupa nini?
 
Tatizo wewe hujaelewa kiini cha comment yangu,kuna mtu alikuja mbio kule juzi kisa Pepe alikosa goli la wazi....sasa katika kumuonesha kuwa hakustahili kuja kupiga kelele ndio nikamletea mfano wa batshuay kupaisha akiwa yeye na lango,

Sasa wewe unaleta habari za kufananisha hawa watu kiuwezo jambo ambalo mwenzako anayejielewa hapo juu kakufafanulia vizuri tu......
 
Isingelikuwa ban, nadhani mngekuwa mpo zaidi ya hapo.
20191024_183242.jpg
 
Tatizo wewe hujaelewa kiini cha comment yangu,kuna mtu alikuja mbio kule juzi kisa Pepe alikosa goli la wazi....sasa katika kumuonesha kuwa hakustahili kuja kupiga kelele ndio nikamletea mfano wa batshuay kupaisha akiwa yeye na lango,

Sasa wewe unaleta habari za kufananisha hawa watu kiuwezo jambo ambalo mwenzako anayejielewa hapo juu kakufafanulia vizuri tu......
Bat alijirekebisha akafunga je Pepe alijirekebisha?
 
Nayo ni rekodi?????!!!!!!
1. Kwa taarifa yako msimu huu Chelsea ndo team ya kwanza kumfunga ajax. Alikuwa hajafungwa na team yoyote in all competitions.

2. Kwa mara ya kwanza baada ya miaka miwili na miezi Ajax wanashindwa kuscore katika home ground.

3. Chelsea hajafungwa katika previous 9 away games in European competitions including match ya jana. The last time amefungwa away ilikuwa ni Camp Now mwaka mwaka 2018 kwenye 16 bora.

4.

Nikikumbuka zingine nitaendelea kuandika. Ila utapendeza kama ukituletea record za arsenal. Otherwise bora ukae kimya.
 
Kama kawaida niliwahi kusema siku za nyuma kuhusu Batshuayi yan anahitaji akose hata nafasi 4 ili apate goli moja. Sasa kwa uwepo wa Pulisic na jinsi timu inavyocheza inamsaidia sana Batshuayi kuficha makosa yake. Jana kuna open chance alikosa kama angetumia vizuri nafasi anazopata angefunga zaidi ya goli mbili.

Huyu jamaa siyo reliable kwa sababu ipo siku timu italemewa tutakua hatutengenezi nafasi kabisa na ndipo utaona mzigo uliopo nadhani anahitaji kufanyia kazi finishing zake ili aweze ku improve zaidi.View attachment 1242708
Masaa 12 yaliyopita nilishaandika alicho andika huyo jamaa. Wewe sijui husomagi
 
Tatizo wewe hujaelewa kiini cha comment yangu,kuna mtu alikuja mbio kule juzi kisa Pepe alikosa goli la wazi....sasa katika kumuonesha kuwa hakustahili kuja kupiga kelele ndio nikamletea mfano wa batshuay kupaisha akiwa yeye na lango,

Sasa wewe unaleta habari za kufananisha hawa watu kiuwezo jambo ambalo mwenzako anayejielewa hapo juu kakufafanulia vizuri tu......
Fungu la kukosa kapambane FUTUHI naona una matatizo mengi hata hatuelewani.
 
Hizi records tunazitoa makusudi ili wenye wivu kama wewe wajinyonge AU wale wembe AU wale pilipili na waache kuja kusodoa huku

Na wewe umeweka rekodi ya kuandika pumba humumbona hiyo huiandiki?
 
Pepe mlipigwa
Jijibu mwenyewe kwani wewe ndio unajua Moringa mwenye rasta kasajiliwa lini na ana muda gani chelsea,
Then Nico Pepe kasajiliwa lini na ana muda gani Arsenal....usifananishe Pepe na upuuzi.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom