Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Yeah rotation ni muhimu kuongeza competence kwa kila mchezaji na pia itasaidia kupunguza specialization. Leo hii Jorginho asipikuwepo tutaanza kuwaza nafasi yake atachukua nani

Kweli mkuu. Unajua kocha akifanya rotation wachezaji nao wanajisikia vizuri na kuongeza jitihada kwenye mazoezi. Kila mmoja anakuwa na confidence hata kama ni big match
 
Mimi mtu wa Liver ila nimepitia tu huku kusalimia. Unajuwa Ajax ni wazuri sana tu ila jana nawapa sifa zote Chelsea waliifanya Ajax kuonekana team ya kawaida sana tu. Chelsea walienda kama wababe na team kubwa walicheza kwa kujiamini sana na 3 5 2 ni mfumo unawafit sana Chelsea inawachezaji wanaondana na mfumo huo. Jana Chelsea walikuwa vizuri sana tu nadhani Lampard ana future nzuri kama kocha hakuna uwoga katika uchezaji wao.

Ahsante kwa niaba ya wanablues wote Dar es salaam
 
chelsea1.jpeg
 
The last time that Ajax lost at home and failed to score was August 2017 when the stadium was a different name and Rosenberg won 1-0 in south Amsterdam.
 
Zouma jana kanichekesha sana kuna mpira alipanda nao kwa kasi kutoka katikati ya uwanja akakatiza katikati ya mabeki wa Ajax, akapiga chenga akatoa pasi akaingia ndani ya box kuomba assist

Tungepigiwa counter angeanza kulia ana bahati alicheza rafu

Jana Zouma kacheza kwa kujiamini sana hadi raha

Lampard ni mzuri sana kwenye rekodi makosa na kwenda kuyafanyia kazi wachezaji wanaendelea kuwa wazuri zaidi kila siku.
Lampard ni moja ya makocha kwenye IQ nzito kabisa
 
‘Everyone wants to be Chelsea – even Tottenham!’
“Outside of Liverpool and Man City, I think Chelsea are the club everyone else wants to be,” Jason Cundy said on Wednesday’s Sports Bar.

“Liverpool and Man City are the side everyone wants to be, they are the benchmark, they are miles away, the best two sides by some distance.

“But everyone else would love to be in Chelsea’s position, [to Man United fan and co-host Andy Goldstein] in a heartbeat you would swap.

“Spurs would love to be Chelsea. They would LOVE to be Chelsea, 1000 per cent.”
 
POST BAN EFFECT:
‘Will all the positivity around Stamford Bridge this season with this new young team be ruined next year when the transfer ban runs out?’
 
The last time that Ajax lost at home and failed to score was August 2017 when the stadium was a different name and Rosenberg won 1-0 in south Amsterdam.
Nayo ni rekodi?????!!!!!!
 
Kwahiyo ule mnazi alioupiga haujauona alipobaki yeye na goli au kwa kuwa Pepe ni mchezaji mkubwa kutoka timu kubwa ndio sababu mlikija kutoa povu kwa ile mis.....


ThanKS VAR
VAR imefanya kazi yake na mabeki pia walifanya trick zao kuhakikisha wanakamilisha majukumu yao.

Batman alifanya makosa akarekebisha makosa. Pepekale alifanya nini?
 
Kante,jorginho,ross barkley,loftus cheek,kovacicBado unahitaji viungo?

Beki ndio tatizo

Na attacking pia tunahitaji mchezaji wakua nembo ya timu na awe na uwezo mkubwa pia
Mkuu defensive midfield ndio hasa namuongelea. Unajua Kante naye siku hizi anapewa attacking role kwa hiyo anabaki Jorginho katika defensive midfield
 
Tulete ushabiki wa mpira, lakin sio maswala ya IQ hiko ni kitu kingine kabsa... lampard hata 1000 bora hafiki kwenye maswala ya IQ
Kuna sehemu nilitoa orodha ya watu waliopimwa na IQ kubwa duniani, Lampard ni wa 10 na wa kwanza kwenye mchezo wa soka
 
Batman jana kafanya vizuri lakin kamwe usije ukamuamin batshuayi, kuna kipindi utataman mpka apate majeruhi ya mwaka mzima... nakukumbusha kamwe kamwe usimuamin batshuayi...
Batman hajui ku control mpira, hajui ku dribble, changa hajui na hata kijiposition ni 50%.. Ndio maana kila anapoenda anakuwa na poor performance
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom