Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea sent scouts to watch Celtic vs Lazio, and observe Milinkovic-Savic.

Jana nilikuja na bandiko nikasema kuelezea sehemu ambazo tunahitaji kufanyia usajili na moja hizo sehemu nilisema ni kiungo wa kati hasa defensive midfield na hizi ndio report zilizopo kama tutafunguliwa kusajili Chelsea ilituma scouts wake kumuangalia huyu mwamba na siyo huyu tu pia Makelele ambaye ni kocha wa wachezaji wa Chelsea walio kwa mkopo alipendekeza Chelsea imsajili Ruslan Malinovskyi wa Atalanta hapo alienda kumuangalia Mario Pasalic mchezaji wa Chelsea aliye Atalanta kwa mkopo.
IMG_20191025_095158.jpeg
 
Kante, Rudiger, Joginho, Alonso, Emerason, Willian, Kovacic, The leading goal scorer, Loftus Cheek, Mount, usiwasahau pia
Hahahaha mkuu utasubiri sana tena sana kwa hilo kutokea,kwani huna timu hiyo......

Angalau ungekuwa na timu inayofanana na ile ya kina CECH,ASHLEY COLE,TERRY,CARVALHO,MAKELELE,ROBBEN,DECO,DROGBA n.k ila sio hii ya tomori,zouma,barkley na batshuay
 
Huyu ni mmoja ya wachezaji wa chelsea aliyeifanya ajax ionekane ni team ya kawaida.
EHoLAPgW4AA2NoE.jpeg
 
Naweza kuwa tofauti na mashabiki wengi wa chelsea, mimi binafsi nimemuangalia sana loft cheek, believe me, yule mchezaji kiwango chake cha kawaida sana ni kama barkley

Kwanza loft cheek huwa anakabia macho then anapenda sana kufanya dribbling ambazo hazileti mafanikio, mwisho wa anapoteza mpira

Kingine ni miongon mwa wachezaji wanaocheza kwa kujiskia sana, ndio maana kipind chake chote hajawahi kuwa first eleven na hata sasa akipona majeraha yake bado atakuwa benchwarmer..

Kitu pekee alichomzidi barkley bi kuweza kufanya dribbling ya mbali kidogo kuliko barkley..
Lakin wote ni useless player...
Kante, Rudiger, Joginho, Alonso, Emerason, Willian, Kovacic, The leading goal scorer, Loftus Cheek, Mount, usiwasahau pia
 
Naweza kuwa tofauti na mashabiki wengi wa chelsea, mimi binafsi nimemuangalia sana loft cheek, believe me, yule mchezaji kiwango chake cha kawaida sana ni kama barkley

Kwanza loft cheek huwa anakabia macho then anapenda sana kufanya dribbling ambazo hazileti mafanikio, mwisho wa anapoteza mpira

Kingine ni miongon mwa wachezaji wanaocheza kwa kujiskia sana, ndio maana kipind chake chote hajawahi kuwa first eleven na hata sasa akipona majeraha yake bado atakuwa benchwarmer..

Kitu pekee alichomzidi barkley bi kuweza kufanya dribbling ya mbali kidogo kuliko barkley..
Lakin wote ni useless player...
Sawa Coach!
 
Kaka hauko tofauti sana kwa mtazamo huo ndio ukweli

Cheek sio kiungo mkabaji kabisa ni aina ya kiungo anayepanda kwenda kushambulia. Na akiwa anapanda akipoteza mpira ndio kwaheri hiyo.

Huwa hakimbizi kuupokonya, anasimama anaangalia tuu. Sioni akianza 1st eleven mbele ya kovacic. Kovacic anashambulia na anakaba, anapora mipira.

Faida kubwa aliyonayo cheek jamaa anajua kujiposition team inaposhambulia.
Mfumo wa Sarri uliforce wachezaji wengi kuwa hivyo Ndugu. Kwa huu mfumo wa Lampard RLC atakuwa tofauti na yule wa Sarri. Wee waangalie hata hao akina Willian, Alonso, Jorginho mtoto wa Sarri, Kovacic, they are all rejuvenated
 
Naweza kuwa tofauti na mashabiki wengi wa chelsea, mimi binafsi nimemuangalia sana loft cheek, believe me, yule mchezaji kiwango chake cha kawaida sana ni kama barkley

Kwanza loft cheek huwa anakabia macho then anapenda sana kufanya dribbling ambazo hazileti mafanikio, mwisho wa anapoteza mpira

Kingine ni miongon mwa wachezaji wanaocheza kwa kujiskia sana, ndio maana kipind chake chote hajawahi kuwa first eleven na hata sasa akipona majeraha yake bado atakuwa benchwarmer..

Kitu pekee alichomzidi barkley bi kuweza kufanya dribbling ya mbali kidogo kuliko barkley..
Lakin wote ni useless player...
Man nakuomba nenda kamuangalie tena na tena. RLC afanane na Barkley? Umemkosea heshima mno mkuu. Yule ndio wa kuja kucheza namba 10 amchangamshe Mount. Yale manguvu yake miguuni, zile skills zake kwenye dribbling, macho yake golini na pass zake za kwenda tofauti na mwili, mkuu hivyo uujaona mpaka umfananishe na Barkley?
 
RLC akirudi hawezi kumuweka Kova nje atakuja kucheza namba ya Mount
Kaka hauko tofauti sana kwa mtazamo huo ndio ukweli

Cheek sio kiungo mkabaji kabisa ni aina ya kiungo anayepanda kwenda kushambulia. Na akiwa anapanda akipoteza mpira ndio kwaheri hiyo.

Huwa hakimbizi kuupokonya, anasimama anaangalia tuu. Sioni akianza 1st eleven mbele ya kovacic. Kovacic anashambulia na anakaba, anapora mipira.

Faida kubwa aliyonayo cheek jamaa anajua kujiposition team inaposhambulia.
 
Kwamba kwa mfumo wa Lampard cheek anaweza kucheza kama kiungo mshambuliaji atakuwa mbele ya kina kovacic, Joginho na kate.
This is right huwezi kumpa RLC majukum ya Kova lazime achoke. Yeye kazi yake ni kuongeza nguvu kwenye ushambuliaji tu ila tatizo ninaloliona kwake hatakua favourable kwa kila mfumo. Utaom cost zaidi ni pale timu itakaposhambuliwa zaidi.
 
Nakuhakikishia hakuna kocha ambae atamuweka mount nje ili RLC aanze..

Mount anaoffer nyingi zaidi ya cheek, mount anakaba anafanya dribble nzuri anajipostion vizur na anauwezo kukupa magoli zaidi ya 10 kwa msimu mmoja, cheek anamzid mount kwa msuli tu...

Ndio maana cheek karibu makocha wote wa chelsea walikuwa hawamuanzishi..
Man nakuomba nenda kamuangalie tena na tena. RLC afanane na Barkley? Umemkosea heshima mno mkuu. Yule ndio wa kuja kucheza namba 10 amchangamshe Mount. Yale manguvu yake miguuni, zile skills zake kwenye dribbling, macho yake golini na pass zake za kwenda tofauti na mwili, mkuu hivyo uujaona mpaka umfananishe na Barkley?
 
Man nakuomba nenda kamuangalie tena na tena. RLC afanane na Barkley? Umemkosea heshima mno mkuu. Yule ndio wa kuja kucheza namba 10 amchangamshe Mount. Yale manguvu yake miguuni, zile skills zake kwenye dribbling, macho yake golini na pass zake za kwenda tofauti na mwili, mkuu hivyo uujaona mpaka umfananishe na Barkley?
Nimemuangalia mara nyingi sana.. ndio maana nakeambia, lakin kama ww umemuangalia u tube sawa.. kwa maana u tube hata bakayoko ni mkali kuzid messi
 
Nakuhakikishia hakuna kocha ambae atamuweka mount nje ili RLC aanze..

Mount anaoffer nyingi zaidi ya cheek, mount anakaba anafanya dribble nzuri anajipostion vizur na anauwezo kukupa magoli zaidi ya 10 kwa msimu mmoja, cheek anamzid mount kwa msuli tu...

Ndio maana cheek karibu makocha wote wa chelsea walikuwa hawamuanzishi..
Ni kweli Mount anaoffer vitu vingi kuliko RLC ila ujue sio kila mechi na formation Mount anaweza. Mfano Mount amekuwa mzuri kwenye mechi za EPL tu, hizi za UEFA bado sana, RLC anaweza offer uzoefu Zaidi kwenye namba hiyo. Hapa wa kuuzwa ni Barkely tu maana hatuwezi kuwa na wachezaji watatu kwenye namba moja maana Kante na Kovacic wanatosha kule kulia na huku kushoto ni Mount na RLC, Katikati anatakiwa kiungo mpya wa kusaidiana na Jourginho. Biashara imeisha hapo katikati
Wingers tunao Odoi, Pulisic, Willian na Pedro
Strikers tunao Tammy na Batshuayi, Giroud kasema atasepa asipopewa muda wa maongezi. Nyuma tunao Tomori, Zouma, Rudiger, Cristansen auzwe atafutwe FB mwingine. LB na RB tunao wa kutosha
 
Nawaona mna mnamshusha thamani lotfus cheeck kumfafanisha na takataka Kama barkley ila muda utaongea ngojea lotfut cheek arudi hayo maneno yenu mtayatapika lotfus cheek ni habari nyingine mark my words.
 
Kwan cheek ndio anaanza msimu huu,?? karibu ana misimu mi 4 pale chelsea... lakn kiwango chake ni kile kile...
Nawaona mna mnamshusha thamani lotfus cheeck kumfafanisha na takataka Kama barkley ila muda utaongea ngojea lotfut cheek arudi hayo maneno yenu mtayatapika lotfus cheek ni habari nyingine mark my words.
 
Odoi au Mount au Tammy ni kocha gani aliwahi kuwaanzisha kikosi cha
Kwanza? Lakini pia ungekuwa unaifatilia Chelsea ungejua kuwa mechi za mwisho wa ligi msimu uliopita RLC alikuwa mchezaji muhimu katika kikosi cha kwanza na amenza kikosi cha kwanza mechi mfululizo mwisho wa msimu
Nakuhakikishia hakuna kocha ambae atamuweka mount nje ili RLC aanze..

Mount anaoffer nyingi zaidi ya cheek, mount anakaba anafanya dribble nzuri anajipostion vizur na anauwezo kukupa magoli zaidi ya 10 kwa msimu mmoja, cheek anamzid mount kwa msuli tu...

Ndio maana cheek karibu makocha wote wa chelsea walikuwa hawamuanzishi..
 
Mbona unaleta vichekesho vya kuwaongela madogo waliokuwa kwa mkopo ... au umeanza kushabikia mpira mwaka jana nini ??
Odoi au Mount au Tammy ni kocha gani aliwahi kuwaanzisha kikosi cha
Kwanza? Lakini pia ungekuwa unaifatilia Chelsea ungejua kuwa mechi za mwisho wa ligi msimu uliopita RLC alikuwa mchezaji muhimu katika kikosi cha kwanza na amenza kikosi cha kwanza mechi mfululizo mwisho wa msimu
 
Taja mechi 4 mfululizo ambazo ni za epl ambazo loft cheek alianza.. ??? Kwa maana kikosi cha sarri kilikuwa kinajulikana..

Mara nyingi cheek alikuwa akianza kama kovacic au kante wakiwa kwa majeruhi...
Odoi au Mount au Tammy ni kocha gani aliwahi kuwaanzisha kikosi cha
Kwanza? Lakini pia ungekuwa unaifatilia Chelsea ungejua kuwa mechi za mwisho wa ligi msimu uliopita RLC alikuwa mchezaji muhimu katika kikosi cha kwanza na amenza kikosi cha kwanza mechi mfululizo mwisho wa msimu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom