Ila Kante nadhani atakuwepo kwenye mechi an new castleHospitali ya Chelsea imeongeza mgonjwa mwingine. Kovacic kaumia naye. Lets enjoy Ross Barkley show
The international break effects.
Chelsea ya tatu kwa kuwa na injuries nyingi EPLHali ngumu sana kwetu
Sidhani kama Pedro yuko Majeruhi kwa sasaTRANSFER BAN + INJURIES = GOD HELP US
Rudger
Kante
Pedro
LFC
Emerson
Kovacic
James
Christensen![]()
kacheza na wenye uwezo mdogo weweJana bakley ameperform vizuri Sana amefunga magoal mawili na assist moja.Bakley ni mchezaji mzuri Sana but tatizo lake ni Hana kiwango endelevu Leo anacheza vizuri siku nyingine unamtegemea atafanya vizuri unakuta anacheza ovyo kwel kwel.
kacheza na wenye uwezo mdogo wewe
Barkley ni wa kuuzwa tu. Siyo mchezaji wa hadhi ya ChelseaJana bakley ameperform vizuri Sana amefunga magoal mawili na assist moja.Bakley ni mchezaji mzuri Sana but tatizo lake ni Hana kiwango endelevu Leo anacheza vizuri siku nyingine unamtegemea atafanya vizuri unakuta anacheza ovyo kwel kwel.
Giroud katingisha kiberiti
Atatimkia Inter januari asipopewa muda wa kucheza zaidi
Giroud ana muhimu wake hasa mech kubwaAende tu maana vjana ni wengi chelsea
Mbona bakley anajua kupiga penetration passNi kweli mfumo wa uchezaji wa sasa haumbebi mipira ya kichwa ni michache, mipira mingi ni penetration Mount na Tam wananufaika zaidi.
Mzee baba Giroud ni mchezaji muhimu sana we mwenyewe umeona tamy Abraham ameshindwa kutubeba kwenye mechi kubwa.Giroud ametupeleka nusu fainali ya fa mwaka Jana lakini pia fainali na arsenal alifunga goal moja na kutoa assist kwa hazard lakini pia mechi na Liverpool supercup alifunga goal kwa mguu lakini pia usisahau pia alikuwa top score wa Europa league so usimdharau giroud hata kidogo Kuna game zitawakataa hao madogo alafu alternative player tumkose Kama tutamuuza giroud.Lampard anatakiwa ampe nafasi giroud at least kidogo kuliko kumpotezea Giroud ni muhimu sana kwenye game za kuamua mechi nafikiri ampe mechi kubwa tuone Kama atamuangusha.Barkley katokea wapi tena mzee?
Wakina nani hawapo waongezeHii ni batili!
Kuna wachezaji fuln hawapo.
Kaka kuna wachezaji hawapo hapo. Hiyo ni batili.Wakina nani hawapo waongeze