Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kama kuna anayesema Pulisic alikuja kwa ajili ya kutanua soko America arudi akamuangalie tena. Narudia kusema na nitasema tena Pulisic ni fundi wa mpira ni swala la muda tu mnaompinga mtakuja kukubaliana na mimi. Siku za furaha zinakujaView attachment 1225528
Huyu jamaa mzuri. Siku ya kwanza namuona nikauliza taifa gani huyu nikajibiwa Marekani nikashangaa, yuko vizuri mshkaji.
 
Akili huna , kama mashabiki wenzio wa Arsenal wasivyo na akili . Kichwa maji we
Humu watu wengi ushabiki hamuuwezi mkichallengiwa kidogo tu mnaanza maneno kama "akil huna" ..."sijui manini nini"

Hii inathibisha kuwa timu hii bado ni ndogo, washabiki hamtaki challenge za kishabiki na mnatumia nguvu kuipandisha tim juu.

Sasa wewe mwenye akili unapotezaje muda wako humu kubishana na wasio akili ??
 
Hahahaaaa na mimi siwezi kuwa na mwalimu kama wewe ningekufukuza darasani kwani hauna madini,

haya ndio yanayotokea kule united muda huu, wanalalamika kuuzwa wachezaji wakubwa kina herrera,sanchez na lukaku bila kusajili mbadala wake na kocha kuamua kutumia vijana wa academy....

Sasa jiulize swali je, wale kina Greenwood,Chong,Rashford wangekuwa wanafanya vizuri hivi vilio ungevisikia????


Ndio hili linalotokea Chelsea leo hii mnapamba timu na vijana wenu kwa kuwa wana upepo mzuri kwa sasa wanafanya poa,ila upepo ukikata hao madogo vile vilio vya united vitahamia humu nakwambia,mtaanza kukumbuka hazard mpaka morata mtamtaka kama united walivyokuwa wanamkashifu lukaku leo hii wanaona bora angebaki....

Washabiki wa mpira hawajawahi kuwa wanafki hata siku moja,timu ikifanya poa wanashangilia ikivurunda wanazomea...
Na hizi timu 6 za juu hazinaga muda wa SUBRA
Suala la muda tu
Hata tulipofungwa na United na Liverpool tulishangilia kwa sababu timu inaonyesha inakwenda wapi? Tusingeona tungeshaanza wimbo wa "Lampard out" Sio kama nyie mko ICU tangu Enzi za Wenga mnapumulia mashine. Chelsea hii hii utaisoma namba wakati Arsenal ikitulia kwenye nafasi yake ya sita maana ya nne ni Spurs na Tano ni Leicester city
 
Hata tulipofungwa na United na Liverpool tulishangilia kwa sababu timu inaonyesha inakwenda wapi? Tusingeona tungeshaanza wimbo wa "Lampard out" Sio kama nyie mko ICU tangu Enzi za Wenga mnapumulia mashine. Chelsea hii hii utaisoma namba wakati Arsenal ikitulia kwenye nafasi yake ya sita maana ya nne ni Spurs na Tano ni Leicester city
Acha utani wewe ,

Mulivyochabangwa 4 na maahetani mulishangilia nyinyi?

Au unataka tufukue makaburi?
 
Hebu tutolee ushubwada wako....hivyo vichezaji hapo anayeingia kikosi cha arsenal moja kwa moja ni mjomba NGOLLO KANTE tu vingine vyote hata benchi havina nafasi

Aiseee jamaaa acha mahaba. Mimi nakujibu ni swala la Muda tu akili yako itakaa sawa
 
Kante to Real Madrid?

According to Diario Sport, Zinedine Zidane is ready to greenlight a £70 million bid for the Chelsea midfielder.
 
Hivi wewe akili zako zikoje? Yan timu inashinda halafu unasema tutagombea nafasi na Man Utd? Ni swala la muda tu mafuta yataanza kujitenga na maji.

Hiyo siyo nafasi yako Arsenal tushikie wanaume kama mimi nilivyowashikia hizi nafasi zenu
Nafas yenu ni ya 15

Subir baada ya break

Ratiba si iliwapa ahueni ,bas mshajiona mna timu
 
Nilisema Chelsea mtamaliza nafas ya 10-15

Hiyo nafas mliyokaa ni kwa muda tu,

Najua mtakuja kubisha ila ukweli mnaujua

Baada ya break , ndio mtaelewa namaanisha nini

FB_IMG_1570393041080.jpeg
 
Chelsea 2-2 Sheffield *** Osasuna 2-2 Barca

Wolves 2-5 Chelsea *** Barca 5-2 Valencia

Granada 2-0 Barca *** Chelsea 1-2 Liverpool

Getafe 0-2 Barca *** Chelsea 2-0 Brighton

Southampton1:4 Chelsea ** Barcelona 4:0 sevilla
Hakuna mechi ilinikera kama ya sheefeed , jamaa walichomoa dkk ya 90
 
Chelsea star Callum Hudson-Odoi says he made right decision to stay with Blues after Bayern Munich interest
hudsonodoi0710a.jpg
Amesema kweli maana kule angeozea bençhi maana ule moto wa wale watoto wawili Kingslay Comman na Serge Gnabry unatisha ,nafikiri amemuona mwenzake Pulisic anavyostruggle.....
 
Bayern siyo wajinga kutoa more the £40 for under 19 kid.
Amesema kweli maana kule angeozea bençhi maana ule moto wa wale watoto wawili Kingslay Comman na Serge Gnabry unatisha ,nafikiri amemuona mwenzake Pulisic anavyostruggle.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom