Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hivi wewe akili zako zikoje? Yan timu inashinda halafu unasema tutagombea nafasi na Man Utd? Ni swala la muda tu mafuta yataanza kujitenga na maji.

Hiyo siyo nafasi yako Arsenal tushikie wanaume kama mimi nilivyowashikia hizi nafasi zenu
Kama hujui ulikaa miongo mi5 nusu karne huko machokoroni kusikojulikana na hiyo ndio nafasi yako halisi...suala la muda tu
 
Yaani hatujasajili lakini tuna team ya kushindana hiki kikosi si kinaingia kwenye first eleven ya man u na arsenal kabisa.
Hebu tutolee ushubwada wako....hivyo vichezaji hapo anayeingia kikosi cha arsenal moja kwa moja ni mjomba NGOLLO KANTE tu vingine vyote hata benchi havina nafasi
 
Point yangu ni kwamba LAMPARD alishawahi kucheza mpira katika level ya juu sana. Binafsi yeye anawafahamu uwezo wa wachezaji kwa kutumia experience yake ya kuichezaji.

Ndio maana anasema PULISIC ni swala la muda, anamfanyisha mazoezi ya kumuimarisha stamina na pumzi kulingana na changamoto za EPL, Namuona pulisic mpya mwenye ubora zaidi kuliko dotmund

Pia Lampard anapanga kikosi kwa mahitaji na uwezo wa timu pinzani faida aliyonayo lampard uwezo wa kipekee ya kubadilisha formation 3-5-2, 4-2-3-1, 4-3-3 aisee huyu kocha mtamuu sana.

Jana mtambo kovacic ungeazishwa tungeshinda 7, lakini akampunzisha kwani ni ngoma ya kitoto asubirie match ngumu ngumu.

Kuhusu Barkely ajiandae kutolewa kwa mkopo akirudi Cheek.
Kwani yule OLE kule vilio united hajawahi kucheza soka katika level za juu?suala hapo Frank ni kocha mzuri suala la kucheza soka katika level za juu sio tija....
 
Wamefungwa tena
 
Weka msimamo ndio utajua mimi na wewe nani analeta utoto,

Tunazungumzia big4 wewe unaleta habari za Europa ,au kwakuwa wewe haumo?

Kama hujui basi msimamo wa big4 upo hivi....

1.LIVERPOOL

2.MANCHESTER CITY

3.ARSENAL

4...... ...

sasa usitoe povu kwa aliye juu yako litakurudia mwenyewe..
Unajua hata kwenye mbio za marathon wanaanza wengi na wale viherehere huwa wanaongoza mwanzoni, pumzi ikiisha wenye mashindano ndio wanaingia kazini. Nyie arsenal tangulieni tu na mkishamaliza pumzi tunajua pa kuwakamatia
 
Weka msimamo ndio utajua mimi na wewe nani analeta utoto,

Tunazungumzia big4 wewe unaleta habari za Europa ,au kwakuwa wewe haumo?

Kama hujui basi msimamo wa big4 upo hivi....

1.LIVERPOOL

2.MANCHESTER CITY

3.ARSENAL

4...... ...

sasa usitoe povu kwa aliye juu yako litakurudia mwenyewe..
Huo ndio ninauita utoto. Unachopaswa kufahamu ni kwamba the current EPL table is not the end. Mwisho Wa msimu baada ya mechi zote kuchezwa ndo utakuwa na haki ya kujiita top four team au lah.

Mimi siwezi kuwa obsessed na nafasi niliyopo sasa hata ingekuwa ni nafasi ya kwanza kwa sababu I'm always competing for titles, Chelsea huwa haipiganii top four ila inapigania kuwa bingwa kila msimu. Msimu uliopita nimemaliza nafasi ya 3 and it wasn't a story. Nilikafunga ka-Arsenal magoli 4 and it wasn't a story.

I know the standards of Chelsea; its not a top four team but a team of winners.
 
Wewe nungekuwa mwanafunzi wangu ningekufukuza kwenye kipindi changu
Hahahaaaa na mimi siwezi kuwa na mwalimu kama wewe ningekufukuza darasani kwani hauna madini,

haya ndio yanayotokea kule united muda huu, wanalalamika kuuzwa wachezaji wakubwa kina herrera,sanchez na lukaku bila kusajili mbadala wake na kocha kuamua kutumia vijana wa academy....

Sasa jiulize swali je, wale kina Greenwood,Chong,Rashford wangekuwa wanafanya vizuri hivi vilio ungevisikia????

Ndio hili linalotokea Chelsea leo hii mnapamba timu na vijana wenu kwa kuwa wana upepo mzuri kwa sasa wanafanya poa,ila upepo ukikata hao madogo vile vilio vya united vitahamia humu nakwambia,mtaanza kukumbuka hazard mpaka morata mtamtaka kama united walivyokuwa wanamkashifu lukaku leo hii wanaona bora angebaki....

Washabiki wa mpira hawajawahi kuwa wanafki hata siku moja,timu ikifanya poa wanashangilia ikivurunda wanazomea...
Na hizi timu 6 za juu hazinaga muda wa SUBRA
Suala la muda tu
 
Huo ndio ninauita utoto. Unachopaswa kufahamu ni kwamba the current EPL table is not the end. Mwisho Wa msimu baada ya mechi zote kuchezwa ndo utakuwa na haki ya kujiita top four team au lah.

Mimi siwezi kuwa obsessed na nafasi niliyopo sasa hata ingekuwa ni nafasi ya kwanza kwa sababu I'm always competing for titles, Chelsea huwa haipiganii top four ila inapigania kuwa bingwa kila msimu. Msimu uliopita nimemaliza nafasi ya 3 and it wasn't a story. Nilikafunga ka-Arsenal magoli 4 and it wasn't a story.

I know the standards of Chelsea; its not a top team but a team of winners.
Kwahiyo sasa hivi unapambania ubingwa????

Sawa maana muda unaruhusu ila nitakukumbusha panapo uzima
 
FB_IMG_1570443548584.jpg
 
Yaan mashabik wa Chelsea ,kumfunga soton aliyechoka ,hadi mnavua nguo

Soon mtapambana na man u huko nafas ya 10-15

Ratiba imewa sevu ndio maana mpo nafas mliyopo ,

Baada ya break , mtamfata man u nilishawaambien msimu huu mtamaliza nafas ya 10-15 ,mkijipapatua mtamaliza nafas ya 8

HIVI KEPA ANA KLINSHIT NGAPI?
FB_IMG_1570393292234.jpeg
 
Yaan mashabik wa Chelsea ,kumfunga soton aliyechoka ,hadi mnavua nguo

Soon mtapambana na man u huko nafas ya 10-15

Ratiba imewa sevu ndio maana mpo nafas mliyopo ,

Baada ya break , mtamfata man u nilishawaambien msimu huu mtamaliza nafas ya 10-15 ,mkijipapatua mtamaliza nafas ya 8

HIVI KEPA ANA KLINSHIT NGAPI?View attachment 1225880
Narudia tena kutoa elimu ya bure kulainisha vichwa vigumu Chelsea kamfunga Brighton 2-0 ,Brighton kambonda Spurs 3-0, Brighton kajichokea?, Chelsea kampiga wolves 5-2 ,wolves Kambonda City 2-0 ,wolves kajichokea?, Chelsea kambonda Soton 4-1 wakati Liverpool katafuta ushindi kwa taabu 2-1 Soton kajichokea, ushindi wetu sio wa bahati bahati unashinda kagoli kamoja unakaa kwa presha 90 minutes, wivu tu unawasumbua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom