Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

subiri kidogo mkuu nina kikao na big4 wenzangu,nitarudi

mind the gap
Yan hyo big4 umeikamata kwa muda unatutambia wakt ww mchawi wako ni mwez wa 12 na hv umeshasahau kama upo ck ya alhams.

Kwel maskin akpata matako yake ulia mbwataaa...
 
Nyie ni swala la muda mtaungana na mwenzenu man u

Ratiba ime wa favour siku kadhaa tayari mnadanganyana mna timu

Baada ya mechi 5 mtakuwa nafas ya 10 mkigombea na man u

HIVI KEPA KAPATA CLEAN SHEET KWELI LEO?
IMG_20191005_062952.jpeg
 
In Spanish: Kepa Arrizabalaga
In Swahili: Kepa Aliyezubaaga
In Kizaramo: Huyu Kepa Tumepigwa

NASIKIA LEO KAPATA CLEAN SHEET

NI SWALA LA MUDA MTAGOMBEA NAFAS ZA 10-15 NA MAN U

FB_IMG_1570392930543.jpeg
 
DANIEL JAMES..MASON GREENWOOD..MARCUS RASHIDI..LINGARD JESSE..ABRAHAM MDIGO..PULISIC..MNAMENGI YA KUJIFUNZA HAPA
FB_IMG_1570393162771.jpeg
 
Hata Giroud ni mzuri kuliko Aubameyang kwani yeye kacheza World cup wakati Aubameyang timu yake ilishindwa hata kufuzu AFCON.
Kuna timu inaitwa Aubameyang? Maana world cup timu ndo zinashiriki
 
DANIEL JAMES..MASON GREENWOOD..MARCUS RASHIDI..LINGARD JESSE..ABRAHAM MDIGO..PULISIC..MNAMENGI YA KUJIFUNZA HAPAView attachment 1225381
EPL ana magoli mangapi? Usije ukawa unaleta magoli aliyofunga kwenye makombe ya mbuzi wakati kuna mtu amefunga goli CL ya wababe, alafu ndo anaongoza ufungaji magoli EPL. Aubameyang anastrugle kufikisha magoli ya Abraham. Sijui wewe utajifunza lini kuandika logic, maana unaandika mambo ambayo ni MTU asiye na ufahamu anaweza kuyaandika.
 
Kama kuna anayesema Pulisic alikuja kwa ajili ya kutanua soko America arudi akamuangalie tena. Narudia kusema na nitasema tena Pulisic ni fundi wa mpira ni swala la muda tu mnaompinga mtakuja kukubaliana na mimi. Siku za furaha zinakuja
IMG-20191006-WA0013.jpeg
 
Nyie ni swala la muda mtaungana na mwenzenu man u

Ratiba ime wa favour siku kadhaa tayari mnadanganyana mna timu

Baada ya mechi 5 mtakuwa nafas ya 10 mkigombea na man u

HIVI KEPA KAPATA CLEAN SHEET KWELI LEO?View attachment 1225378
Naanza kupata mashaka na uelewa wako wa mpira. Unapata ushindi kwa shida hapo nyumbani halafu unakuja huku kupiga umbea? Labda nikwambie kitu. Unaposhughulikia shida zako lazima uzipe priority ya utaanza na ipi utamaliza na ipi huwezi fanya vyote kwa pamoja utakaranganya. Sasa Chelsea shida ilikua kwenye kupata ushindi na ndicho kinacho hangaikiwa sasa ivi. Muhimu point 3 kwanza hayo yatakuja shughulikiwa baadae.
 
In Spanish: Kepa Arrizabalaga
In Swahili: Kepa Aliyezubaaga
In Kizaramo: Huyu Kepa Tumepigwa

NASIKIA LEO KAPATA CLEAN SHEET

NI SWALA LA MUDA MTAGOMBEA NAFAS ZA 10-15 NA MAN U

View attachment 1225379
Hivi wewe akili zako zikoje? Yan timu inashinda halafu unasema tutagombea nafasi na Man Utd? Ni swala la muda tu mafuta yataanza kujitenga na maji.

Hiyo siyo nafasi yako Arsenal tushikie wanaume kama mimi nilivyowashikia hizi nafasi zenu
 
EPL ana magoli mangapi? Usije ukawa unaleta magoli aliyofunga kwenye makombe ya mbuzi wakati kuna mtu amefunga goli CL ya wababe, alafu ndo anaongoza ufungaji magoli EPL. Aubameyang anastrugle kufikisha magoli ya Abraham. Sijui wewe utajifunza lini kuandika logic, maana unaandika mambo ambayo ni MTU asiye na ufahamu anaweza kuyaandika.
Hawa jamaa ndio wanaoongoza kwa kuandika pumba JF. Gunners fan boys jifunzeni kuandika points
 
Man we are too old for this. Ukijibiwa inavyotakiwa mtaanza kusema sisi watoto wa juzi tunatukana wakubwa.

Naanza kuamini yule jamaa alosema Liver fan wengi ni wazee walevi walevi ila wewe ni kijana mlevi. Reflection appears
Fresh tu mbona

Kama hujui maana ya ushabik lzm ulie lie mtoto wa kiume ,nyiny ndio wale mmafukuza watu kwenye nyuzi sababu hujui maan ya ushabiki
 
Fresh tu mbona

Kama hujui maana ya ushabik lzm ulie lie mtoto wa kiume ,nyiny ndio wale mmafukuza watu kwenye nyuzi sababu hujui maan ya ushabiki
Huo ni ushabiki maandazi. Aliyekwambia kuwa shabiki wa kweli ni lazima uwe mwendawazimu ni nani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom