Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,033
- 27,391
Hiki ni nje ya kikosi kilicho anza jana. Tufanye uchambuzi wadau hiki kikosi hakiwezi kuleta changamoto kwenye mashindano tunayoshiriki? Kiukweli uwezo tunao, nguvu tunazo kilicho baki ni NIA tu kwa wachezaji.