Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nilisema Chelsea mtamaliza nafas ya 10-15

Hiyo nafas mliyokaa ni kwa muda tu,

Najua mtakuja kubisha ila ukweli mnaujua

Baada ya break , ndio mtaelewa namaanisha nini

View attachment 1226162
Ukiwa mwanaume kuwa na msimamo mwanzon ulisema unatupa mechi kumi tutakuwa nje ya kumi Bora, pia uksema wolves nae atatufunga tukashinda , yan most of time tabiri zako zinafeli still hujifunzi kuwa na akiba ya maneno ,mechi ya final ueropa ulipiga kelele kujisifia then ukapigwa ,unaendeshwa na hisia thus y all the time prediction zako zinafeli
 
Sawa,
Lakini unavyoona ile front line ya Bayern pale Odoi angecheza namba ya nani? Ikiwa Pulisic,Muller wanasugua?

Sijasema kuwa Odoi hana kipaji Ila kuna ile kitu kuzidiana uwezo

Na ukiangalia kijana bado mdogo na anahitaji muda mwingi wa kucheza ili kukuza kipaji na uwezo wake.....
Halo Chelsea ana uhakika wa kucheza na ndio maana anajisifu kwa maamuzi aliyochukua maana angeenda Bayern ingemcost sana.
Bayern siyo wajinga kutoa more the £40 for under 19 kid.
 
Sawa,
Lakini unavyoona ile front line ya Bayern pale Odoi angecheza namba ya nani? Ikiwa Pulisic,Muller wanasugua?

Sijasema kuwa Odoi hana kipaji Ila kuna ile kitu kuzidiana uwezo......
Hv ww unajua vzur wachezaj wa bayern had unachapia kusema pulisic badala ya persic kwel ww n shabk maandaz.

Cku nyngn husiwe unakurupuka
 
Sawa,
Lakini unavyoona ile front line ya Bayern pale Odoi angecheza namba ya nani? Ikiwa Pulisic,Muller wanasugua?

Sijasema kuwa Odoi hana kipaji Ila kuna ile kitu kuzidiana uwezo

Na ukiangalia kijana bado mdogo na anahitaji muda mwingi wa kucheza ili kukuza kipaji na uwezo wake.....
Halo Chelsea ana uhakika wa kucheza na ndio maana anajisifu kwa maamuzi aliyochukua maana angeenda Bayern ingemcost sana.
Ndo shda ya mashabk wa arsenal kwnz nenden kwny uzu wenu
 
Ukiwa mwanaume lazma uwe na uvumilivu na subra ,kwani mechi 10 tayari?
Ukiwa mwanaume kuwa na msimamo mwanzon ulisema unatupa mechi kumi tutakuwa nje ya kumi Bora, pia uksema wolves nae atatufunga tukashinda , yan most of time tabiri zako zinafeli still hujifunzi kuwa na akiba ya maneno ,mechi ya final ueropa ulipiga kelele kujisifia then ukapigwa ,unaendeshwa na hisia thus y all the time prediction zako zinafeli
 
Sawa,
Lakini unavyoona ile front line ya Bayern pale Odoi angecheza namba ya nani? Ikiwa Pulisic,Muller wanasugua?

Sijasema kuwa Odoi hana kipaji Ila kuna ile kitu kuzidiana uwezo

Na ukiangalia kijana bado mdogo na anahitaji muda mwingi wa kucheza ili kukuza kipaji na uwezo wake.....
Halo Chelsea ana uhakika wa kucheza na ndio maana anajisifu kwa maamuzi aliyochukua maana angeenda Bayern ingemcost sana.
Kulibgana na umri alonao usitegemee atapata dakika zote kucheza. Kwa umri wake lazima kuwe na mistakes nyingi ivyo ndio umri wa kujifunza sana hata leo hii Hazard kama angeendelea kuwepo ni lazima Odoi angekula benchi aendelee kujifunza kwa kna Willian, Pedro na Hazard then anakua anapata walau dakika 15-20 kitu ambacho hata Bayern kama angesinya kingetokea tu.
 
Ukiwa mwanaume lazma uwe na uvumilivu na subra ,kwani mechi 10 tayari?
Kama mechi kumi bado huyo mwenzio kasha badilika saiz kasema adi msimu umalizike, huyo jamaa ako tabiri zake nyng anafeli , ueropa final game ya wolves Watford zote izo alitabil tutalose
 
Captain America Christian Pulisic katika dakika 451 ametoa assist 4 ndan ya mechi alizocheza mashindano tofauti tofauti.
IMG_20191008_100828.jpeg
 
Narudia tena kutoa elimu ya bure kulainisha vichwa vigumu Chelsea kamfunga Brighton 2-0 ,Brighton kambonda Spurs 3-0, Brighton kajichokea?, Chelsea kampiga wolves 5-2 ,wolves Kambonda City 2-0 ,wolves kajichokea?, Chelsea kambonda Soton 4-1 wakati Liverpool katafuta ushindi kwa taabu 2-1 Soton kajichokea, ushindi wetu sio wa bahati bahati unashinda kagoli kamoja unakaa kwa presha 90 minutes, wivu tu unawasumbua
Mbona huzungumzii yakwako na liverpool
 
Zmejchokea kvp so unataka kusema hao wolves amebahatisha kumfung man cty 2 kavu na liver naye kwann asngemfunga soton gol 4 kama soton naye amejchokea kkaishia kushnd vgol vwl tena kwa taabu
Timu alizo zifunga ni kweli zimejichokea

Mbona asimfunge Leicester?
 
ukipata kifungua kinywa cha nguvu akili yako itagundua man city kafungwa na wolves, Brighton kamfunga spurs haimaanishi waliofungwa ni dhaifu, au Man Utd timu imara kuliko leceister kwa Sasa?naishia hapo tuendelee kujenga taifa kwanza
 
vipi umekula chochote asubuhi hii maana umekurupuka kama mtu mwenye njaa ya siku tatu, unapokuta comment tafuta kiini cha mjadala kisha jikite kwenye mada
Umeulizwa swali rahisi unambwelambwela tu....

Wolvers 2 vs Chelsea 5

Man city 0 vs Wolvers 2

Man city ? Vs Chelsea ?

Chelsea ? vs Man city ?

Man utd 4 vs Chelsea 0

Man utd 1 vs Arsenal 1

Arsenal ? vs Chelsea ?

Je, matokeo ya hizo mechi yatakuwaje,ikiwa wewe ulimpiga wolvers 5 na wolvers kampiga city 2 ina maana chelsea itamfunga city goli 10 kwa maana yako,maana hapo city ni kibonde.....

Na kama pale Oldtraffod umebamizwa 4 na Arsenal wafalme wa London wamepata suluhu kwa maana hiyo game na Arsenal jiandae kupigwa 4 safi,

Yeeeees si ndio maana yako......

Mpira haupo hivyo,jifunze
 
kichwa kigumu timu kufungwa haimaanishi ni dhaifu ni game plan imekataa, utatukanwa humu ndani utasingizia Ohh hamtaki challenge, narudia tena kuwa muelewa
 
Zmejchokea kvp so unataka kusema hao wolves amebahatisha kumfung man cty 2 kavu na liver naye kwann asngemfunga soton gol 4 kama soton naye amejchokea kkaishia kushnd vgol vwl tena kwa taabu
Tunaangalia ushindi ..... Ukisema eti kashinda kwa tabu izo ni siasa
 
Naona vistats vyenu vimeanza tena kama kile kipindi sarri na joginho wametua hapo darajani venye mlikuwa mnasumbua lkn mwisho wa siku mkaanza kulia lia humu . Sasa nawakumbusha tu hata yule masai kipind kapewa timu nyumbu waliishi maisha mnayoyaishi nyinyi kwa sasa hivyo bas msijisahau sana vijana wa chelwowo
 
kichwa kigumu timu kufungwa haimaanishi ni dhaifu ni game plan imekataa, utatukanwa humu ndani utasingizia Ohh hamtaki challenge, narudia tena kuwa muelewa
Unyooshage maelezo ungekuwa mwanafunzi wangu ningekuzaba vibao mpaka ukae sawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom