Umeulizwa swali rahisi unambwelambwela tu....
Wolvers 2 vs Chelsea 5
Man city 0 vs Wolvers 2
Man city ? Vs Chelsea ?
Chelsea ? vs Man city ?
Man utd 4 vs Chelsea 0
Man utd 1 vs Arsenal 1
Arsenal ? vs Chelsea ?
Je, matokeo ya hizo mechi yatakuwaje,ikiwa wewe ulimpiga wolvers 5 na wolvers kampiga city 2 ina maana chelsea itamfunga city goli 10 kwa maana yako,maana hapo city ni kibonde.....
Na kama pale Oldtraffod umebamizwa 4 na Arsenal wafalme wa London wamepata suluhu kwa maana hiyo game na Arsenal jiandae kupigwa 4 safi,
Yeeeees si ndio maana yako......
Mpira haupo hivyo,jifunze