Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Degea kwasasa timu inamuangusha ,Hiyo ni general propaganda from any hater. Kepa kufanya a very important save na hiyo pekee ndio inayompa credit kwa sababu kufanya kwa wakati muhimu na kwa matokeo muhimu kwa Spain. Pia Kepa kamweka bench GK anayeonekana ni maridadi duniani na kwa hili maana yake sasa KJepa kaingia kwenye orodha ya Magolkipa maridadi duniani. Hiyo ya cleen sheet ni propaganda yako Arron