Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Ww ndio unamuona hivo, maana mpira huujuiKi ukweli pepe ni bora akarudi League 1, epl imeshakuwa ngumu kwake anacheza kama kuku amekatwa kichwa.
Ww ndio unamuona hivo, maana mpira huujuiKi ukweli pepe ni bora akarudi League 1, epl imeshakuwa ngumu kwake anacheza kama kuku amekatwa kichwa.
Tunashukuru kwa maoni yako. Lakini nikukumbushe kipndi cha Sarri tulshiriki EL na siyo Champions League.
Sasa hapo ndio unakosea. Ni siku tulishawahi kusema Kepa ni bora kuliko Allison? Kumbe yawezekana siku zote unapokuja mjadala wa Kepa huwa hatuelewani! Sasa ngaoja nikueleweshe leo huwa tunapinga mnaposema Kepa ni mbovu na hajawahi kulinganishwa kipa mwingine zaidi ya Leno wenu.Sasa hapo kuna utani gani?
Serious ni nyinyi mnaposemaga Kepa ni bora kuliko Allison Becker,ila wenzenu wakisema Odoi kwa Saka Bukayo anasubiri inakuwa utani!!!!!!
NA MIMI NASEMA HIVI ATASUBIRI SANA NA JIBU UTALIPATA KESHO
Aiseeeehhhh nyie mbona mnakuwa hivyo
Sio waliominika wanaujua muziki nani aliwaamini?kama uliwaamini wewe sio kila mtu aliwaamini,alafu mambo ya soka yameisha naona unaleta habari za miziki hapa hahahahaha.....
Eti Chelsea wapo man u kesho hahahhaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hudson Odoi tayari analingana assist na Pepe. Sijui wamecheza dakika ngap?
wewe tunakuhesabia mechi, Mane uyo uyo EPL, uyo Uefa, uyo uyo FA yani mwanzo mwisho ...desemba tutakuwa tunawapumulia apo kisogoni.Kiongozi upo Bariadi lakini unaiwaza Babati wakati mbeleyako pana Nzega?
Nakukumbusha tu kuwa aliyepo mbele yako sio Liverpool bali ni Leicester City! Kwahiyo fikiria kwanza kumfika na kumpita Leicester.
Pulisic bado ana umri mdogo anaweza kujiimarishaHahaha wakikujibu au hata ww ukipata jibu nitag mkuu.....
Mkuu Pepe ni mchezaji, hata composure yake utajua tu ni mchezaji. Aidha hajafit Arsenal au hajazoea bado EPL. Tatizo la Arsenal kwa sasa liko kwenye viungo na mabeki. Arsenal wakikutana na akina Tammy na Mount hao mabeki watakula mabao ya kutoshaPepe anacheza kama kuku kakatwa kichwa . Hana impact yeyote uwanjani. Anajaza nafasi tuu timu itimie eleven players
Usiende mbali, BIG picture JanuaryMwisho wa Msimu utaibika hapa
Tatizo nafasi anayocheza ina ushindani, huo muda wa kumuamini Lampard hana. Akipewa Carabao na FA ajitahidi sasa maana Juzi kwenye Carabao mwenye ratings za chini kuliko wote ni Pulisic alikuwa na rating ya 4 wakati academy ambao hata hawajaanza kwenye First XI akina Billy walikuwa na rating ya 9. Hata Batshuayi alikuwa na 8.Sancho alimuweka benchi. Pulisic ni mchezaji mzuri ni swala la muda tu. Sitaki kuamini uwezo aliouonyesha timu ya taifa ulikua wa muda.
HAJAAMINIWA TU
wewe tunakuhesabia mechi, Mane uyo uyo EPL, uyo Uefa, uyo uyo FA yani mwanzo mwisho ...desemba tutakuwa tunawapumulia apo kisogoni.
NB: ,(kupanuliwa) so tusi kikwetu.
Usiende mbali, BIG picture January
Issue sio Madrid kwa sababu mbona kwa Kovacic tumepatia?Ukiona madrid inakuuzia mchezaji jiulize mara mbilimbili kwa morata nilijua tumepigwa za uso. Kwa kovacic iliwalazimu watuuzie jumla kutufuta machozi ya morata.
Wewe unapenda kuambatana na vibonde kwa sababu huwezi challenge!!!!!!Mimi ninakwenda na ahadi ya Aaron Arsenal Kuwa itakapofika December bado mupo ndani ya Top six basi mutabeba ubingwa
Barkley anawezaje kucheza Chelsea Motihno&Neves wapo wolves? ,nakiri Haya ni matumizi mabaya ya ChelseaNingekuwa mimi Lampard Barkley ni wa kumpumzisha kabla ya dk ya 60 aingie Kovacic
Pia Christensen angepumzishwa asije akatupa red card nafasi yake aingie hata Reece anaweza kucheza CB
Pedro pia apumzike aingie Odoi. Pedro anacheza vizuri ila tumjaribu Odoi yeye ni mwepesi
Anayefanya Brighton wacheze cheze ni Barkley kwa kupoteza poteza mipira hovyo, too slow na hayuko uwanjani sijui yuko wapi
Ndio jibu hili na umelidhika nalo?basi sawa tuwe na subra....Pulisic bado ana umri mdogo anaweza kujiimarisha