Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Pulisic kacheza mechi ngap adi Sasa,nawaza mtu kama wewe unaejua mpira unamjudge mchezaji at mech sita ajafikisha , ata uyo pepe wenu bado ajaonyesha kitu chochote kipya ila ndo unaona pulisic hajui!?
Hajaonesha kitu ,mnataka afanye nn zaid?

Usimfananishe Pepe na ujinga
 
Sancho alimuweka benchi. Pulisic ni mchezaji mzuri ni swala la muda tu. Sitaki kuamini uwezo aliouonyesha timu ya taifa ulikua wa muda.

HAJAAMINIWA TU
Pulisic mlipigwa

Marina hana uwezo mzuri kwenye maswala ya ufundi

Jiulize why klopp aligoma kwa hiyo bei mliyopigwa

Ni mchezaji wakawaida sana ,

Pulisic hata iwobi hamkuti
 
Pulisic mlipigwa

Marina hana uwezo mzuri kwenye maswala ya ufundi

Jiulize why klopp aligoma kwa hiyo bei mliyopigwa

Ni mchezaji wakawaida sana ,

Pulisic hata iwobi hamkuti
Klopp ni nani Chelsea? Kwakua yeye alimkataa ndio inamaana hawezi chochote. Kwan ni wangapi walioaminika wanaujua mziki walimkataa Harmonize kabla hajatoka? Haya niambie hao watu wako wapi sasa?

Acha kukaririshwa.
 
Sasa hapo kuna utani gani?

Serious ni nyinyi mnaposemaga Kepa ni bora kuliko Allison Becker,ila wenzenu wakisema Odoi kwa Saka Bukayo anasubiri inakuwa utani!!!!!!
NA MIMI NASEMA HIVI ATASUBIRI SANA NA JIBU UTALIPATA KESHO

Aiseeeehhhh nyie mbona mnakuwa hivyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tatizo lako huelewekagi ni muda gani utaleta utani na muda gani utakua serious. Hebu one hii surprise ya utani
 
Sio waliominika wanaujua muziki nani aliwaamini?kama uliwaamini wewe sio kila mtu aliwaamini,alafu mambo ya soka yameisha naona unaleta habari za miziki hapa hahahahaha.....
Klopp ni nani Chelsea? Kwakua yeye alimkataa ndio inamaana hawezi chochote. Kwan ni wangapi walioaminika wanaujua mziki walimkataa Harmonize kabla hajatoka? Haya niambie hao watu wako wapi sasa?

Acha kukaririshwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom