Hata ww mpira hujui mkuuuuAlonso hamna kocha humu
Tatizo anapanga mabeki wengi kuliko viungo wapandisha mpira mbele mara nyingi tunashambuliwa na kufunga magoli ya kushitukiza nakuunga mkono kwa hii formation hatufiki mbaliKocha hatuna kwa uchezaji huu na upangaji wa kikosi hata top 4 hatuingii
Alonso ni takataka
View attachment 3660106
Kipindi unaposses 75% ulishawahi wafunga BrightonKocha hatuna kwa uchezaji huu na upangaji wa kikosi hata top 4 hatuingii
Alonso ni takataka
View attachment 3660106
Hili goli ni la pili kwa Lavia katika career yake yote ya mpira. Goli lake la kwanza alifunga tarehe 30 Agosti 2022 na unajua ilikuwa dhidi ya nani?.GOAL! Verbruggen makes a huge mistake and Lavia has an easy goal! Chelsea 1-0 Brighton
View attachment 3660066
Nimesalimu amri kwa Pedro Neto,GOAL! A cross from Rogers finds Neto, and he buries the ball into the net! Chelsea 2-0 Brighton
View attachment 3660068
Colwill aidha hajarudi kwenye fitness au hawezi kucheza backline ya tatu. Huko kwake ndiko kuna uchochoro sana. Fofana kacheza vizuri sana mechi ya leo ila Levi Colwill tumsamehe bure. Chelsea lazima iingie sokoni isajili beki.Beki leo sijaelewa walikuwà wanachezaje ,tumezingua kwenye ulinzi
Viungo ndio wanaoamua tuwe na mpira au la. Leo kwenye viungo walicheza Romeo Lavia na Gusto.Kocha hatuna kwa uchezaji huu na upangaji wa kikosi hata top 4 hatuingii
Alonso ni takataka
View attachment 3660106
Akikujibu nitagKipindi unaposses 75% ulishawahi wafunga Brighton
Hamna kiungo wa namna hiyo ndio maana alimuhitaji XhakaKilichonikera tu leo ni kocha kushindwa kufanya game management 4-2 unakomaa kuputua mbele wakati unaweza jilinda kwa kucheza pasi fupi fupi na kumaintain possession
Anyway japo tukubali kocha bado yupo kwenye experiment cha kushukuru matokeo yanapatikana
Alonso ni bonge la kocha kumbuka Caicedo ni injury, James ana mmanage ndio maana akaanza hivyo nakumbuka Alonso alisema mapema team itakuwa Bora December kwa maana ya kwamba anaijenga taratibu taratibu wakati huo huo tunachukua point 3 na mfumo ndio umewafanya JOAO PEDRO, PALMER na MORGAN ROGERS wawe bora timu upo kwenye ujenzi kuwa na utulivu Maresca alikuwa anaongoza possession 80% na akawa anachapikaKocha hatuna kwa uchezaji huu na upangaji wa kikosi hata top 4 hatuingii
Alonso ni takataka
View attachment 3660106
Sidhani Chelsea ina shida ya beki Bali ni muundo wa uzuiaji pamoja kiungo kupwaya inakuwa rahisi mpinzani kupata space za kutushambulia Alonso analijua Hilo ndio maana akasema ikifika December tutakuwa Bora sana.Colwill aidha hajarudi kwenye fitness au hawezi kucheza backline ya tatu. Huko kwake ndiko kuna uchochoro sana. Fofana kacheza vizuri sana mechi ya leo ila Levi Colwill tumsamehe bure. Chelsea lazima iingie sokoni isajili beki.
Kuwa na kipara sio lazima uwe Mzee wengine vya urithi, vyakula unavyokula ni sawa na mviJUNIOR YALCOUYÉ,umri wake ni miaka 20
Junior Yalcouyé amefanikiwa kufunga goli lake la kwanza akiwa Brighton, tena dhidi ya Chelsea kwenye mchezo wa EPL. ⚽🔥
Usibishe umri wake,mama yake ndio anajua zaidi 😂😂
AFRICA 🙌 🙌
Je kuwa na komwe lililokomaa pia husababishwa na nini mkuu? Kipara aliyesawazisha goli la kwanza hana utetezi wowote kwa kuwa "too age gone"Kuwa na kipara sio lazima uwe Mzee wengine vya urithi, vyakula unavyokula ni sawa na mvi