Chelsea anacheza Leo jumanne au jumatano please anayejua aniambie?
Kesho, zile timu zote zilizoanza Jumanne wiki hii wanaanza jtanoChelsea anacheza Leo jumanne au jumatano please anayejua aniambie?
Hata kama hana majeruhi serious sidhani kama atacheza keshoMy prediction for # Chelsea v LilleView attachment 1220435
Ile haikuwa mechi ya Futuhi, ilikuwa ni EPL, ila timu zilizokuwa zinacheza ni zile timu za Futuhi na walionyesha kweli kwamba walistahili kucheza EuropaJana nimeangalia mchezo wa Futuhi kati Man u vs Arsenal, kwa kweli mashabiki wa Chelsea tutembee kifua mbele timu yetu nzuri sana inamaliza ndani ya top 4 msimu huu.
Wale watani wetu wa jana wanadai wanajenga timu wanajidanganya hawana timu wachezaji wamekorogeka
Chelsea tuko vizuri Nyuma, katikati na ushambuliaji. Tunachotakiwa kuboresha ni pale mbele kwenye kufunga mabao wale madogo tuliowapa dhamana ya kufunga watimize wajibu wao bila woga na kwa nguvu zote.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mapenzi mabaya sanaPaul Merson Says:
In two or three years' time, this Chelsea team will be dictating the Premier League, mark my words. All of their young players would have played 100-odd games together by then and, if they continue in the same vein, their countries too.
Chelsea tuna timu nzuri hata kuwazidi #Liverpool na #ManCity, hao vijana wanachotakiwa ni wazoee tu EPL, ndio maana nikasema mambo mazuri yanakuja huko mbeleni
Wee kijana kama Tammy, Mount na Tomori ndio kwanza wanaanza EPL na wameshakuwa hatari namna hii. Je wakizoea itakuwaje
Ndio maana Paul Merson anasema "Mark my words"
Paul martson ni shabiki wa Chelsea?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mapenzi mabaya sana
Paul merson ni shabiki wa Chelsea?
Huko chini kaongezea yeye binafsi kwa mahaba yake. Kauli ya Martson n hiyo juu. Sasa hapo chini jamaa anakwambia Chelsea ina kikosi kizuri kuliko man city [emoji23] [emoji23]Paul martson ni shabiki wa Chelsea?
Jamaa kiingereza kinakupiga chenga. Jamaa amesema in 2/3 yrs to come...Huko chini kaongezea yeye binafsi kwa mahaba yake. Kauli ya Martson n hiyo juu. Sasa hapo chini jamaa anakwambia Chelsea ina kikosi kizuri kuliko man city [emoji23] [emoji23]
Hahahaha. Eti limefungwa, Daaaaahhh...Limefungwa magoli mawili likatolewa
Nimecheki mchezo wa Man U na Arsenal very very boring. Utafikiri Stand United vs Singida United ndio walikuwa wanacheza. Comparably na quality ya Chelsea, ni suala la muda tu Arsenal na Man United watakwamia kwenye mid table kama wakiendelea kucheza style ile, no game plan nzuri na ball control, no pass accuracy no communication hovyo tu! Pepe kashindwa kabisa ku-cope na EPL arudishwe tu League 1 Arsenal wameibiwa pesa zote zile
Leicester city na West Ham wana mpira mzuri kuliko hao majirani
Sasa uligongwaje 4 buyu na hao wasiojua mpira? Basi wewe ndio hujui kabisaaaaaaa kuwa na heshima na aliyekukong'oliJana nimeangalia mchezo wa Futuhi kati Man u vs Arsenal, kwa kweli mashabiki wa Chelsea tutembee kifua mbele timu yetu nzuri sana inamaliza ndani ya top 4 msimu huu.
Wale watani wetu wa jana wanadai wanajenga timu wanajidanganya hawana timu wachezaji wamekorogeka
Chelsea tuko vizuri Nyuma, katikati na ushambuliaji. Tunachotakiwa kuboresha ni pale mbele kwenye kufunga mabao wale madogo tuliowapa dhamana ya kufunga watimize wajibu wao bila woga na kwa nguvu zote.
Kila siku nawaambieni anayeipa heshima London ni Chelsea peke yake hao wengine wanachafua hali ya hewa tu. Mtu anakula 7 akiwa nyumbani. DaahNdugu zenu wa London wameogeshwa leo