Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Inatakiwa tuendelee kushinda hivi ivi mwanzo mwisho ..mpka Desemba tuwe angalau karibu au kumpita hii Liverpool ..awa wameshaanza kuchoka na uwezo tunao ..

Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]

Kiongozi upo Bariadi lakini unaiwaza Babati wakati mbeleyako pana Nzega?

Nakukumbusha tu kuwa aliyepo mbele yako sio Liverpool bali ni Leicester City! Kwahiyo fikiria kwanza kumfika na kumpita Leicester.
 
Pulisic anarukaruka tu ,na lampard hamuelewi kabisa
Pulisic kacheza mechi ngap adi Sasa,nawaza mtu kama wewe unaejua mpira unamjudge mchezaji at mech sita ajafikisha , ata uyo pepe wenu bado ajaonyesha kitu chochote kipya ila ndo unaona pulisic hajui!?
 
Hahaha ukiangalia ukimtoa liver na city hawa wengine wote hali zetu zinafanana so ukisema chelsea inahali mbaya vipi spurs,man utd, arsenal halinzao zikoje
Ndio kwanza tuko mechi ya 7 bado kuna mechi 31

Mark my word chelsea anaingia top 4
Kati ya Chelsea, Man u, Arsenal na Spurs, ni Chelsea ndio pekee yenye mwanga wa improvement. Kuna sehemu nilicoment kuwa huko tunakokwenda makossa ya Chelsea yanapungua to at least 15% wakati hao wengine makossa ni kati ya 20-35% na ndio kiama chao. Nilishasema Man U nafasi yao ya kugombea maana wanaweza kuikosa ni namba 6
Arsenal na Spurs watagawana namba hizo mbili za 4 na 5. Sisi Chelsea tuna uhakika wa namba 3. Kama anachukia mwambie ameze wembe au ale pilipili wivu yake itapungua
 
Chelsea fan boys tuwe na subira naomba tumuamini Lampard. Baada ya muda nadhani Pulisic ukifika muda atapata playing time ya kutosha na atatuprove wrong kwa Lampard kwa nini hamchezeshi sasa. Lakini siwalaumu ni kwa sababu hatujui knachoendelea training grounds na dressing rooms.

Klopp didn't play Fabinho after Liverpool signed him.. Look at Fabinho now

Pep didn't play Mahrez when he first came to City.

Even Laporte didn't play every game when he came to City.

On top of that Pulisic has played alot

32 minutes against Man United
70 minutes against Leicester
84 minutes against Norwich
90 minutes against Sheffield
90 minutes against Grimsby

And it is clear he hasn't adjusted to English football yet

Look at Hudson-Odoi
After long term injury
Back in team it has taken in 1 full game and 30 minutes in PL to show his quality.

PULISIC NEEDS TIME AND LAMPARD IS DOING THE RIGHT THING
Swali ambalo sina jibu kwa nini kule Dotmund hakuwa anaanza na hata sub alikuwa akizipata chache?
 
Kati ya Chelsea, Man u, Arsenal na Spurs, ni Chelsea ndio pekee yenye mwanga wa improvement. Kuna sehemu nilicoment kuwa huko tunakokwenda makossa ya Chelsea yanapungua to at least 15% wakati hao wengine makossa ni kati ya 20-35% na ndio kiama chao. Nilishasema Man U nafasi yao ya kugombea maana wanaweza kuikosa ni namba 6
Arsenal na Spurs watagawana namba hizo mbili za 4 na 5. Sisi Chelsea tuna uhakika wa namba 3. Kama anachukia mwambie ameze wembe au ale pilipili wivu yake itapungua
Kwamba spurs kazidiwa na Chelsea? Huu utani
 
Hahahahahaha ndoto
 
Nimegundua kuwa Kepa ndio amesababisha bei ya mapazia kupanda kule manzese......machinga wanatumia bei ya pazia kepa kupandisha soko la bidhaa zao za mapazia......
Rochdale AFC kikosi kizima kina thamani ya £2.23 mil. lakini Kimeruhusu goli moja(1) tu! old Trafford
.
Kepa tuliyemnunua kwa thamani ya £71.6 mil. alikung'utwa goli zake nne(4) safi! Old Trafford
.
Umegundua nini?View attachment 1218654
 
Hivyo viwango vya % ulijichimbia pangoni ukaanza kuvipanga eti ehhhh....hahahaha mtaweweseka sana,
Kati ya Chelsea, Man u, Arsenal na Spurs, ni Chelsea ndio pekee yenye mwanga wa improvement. Kuna sehemu nilicoment kuwa huko tunakokwenda makossa ya Chelsea yanapungua to at least 15% wakati hao wengine makossa ni kati ya 20-35% na ndio kiama chao. Nilishasema Man U nafasi yao ya kugombea maana wanaweza kuikosa ni namba 6
Arsenal na Spurs watagawana namba hizo mbili za 4 na 5. Sisi Chelsea tuna uhakika wa namba 3. Kama anachukia mwambie ameze wembe au ale pilipili wivu yake itapungua
 
Kati ya Chelsea, Man u, Arsenal na Spurs, ni Chelsea ndio pekee yenye mwanga wa improvement. Kuna sehemu nilicoment kuwa huko tunakokwenda makossa ya Chelsea yanapungua to at least 15% wakati hao wengine makossa ni kati ya 20-35% na ndio kiama chao. Nilishasema Man U nafasi yao ya kugombea maana wanaweza kuikosa ni namba 6
Arsenal na Spurs watagawana namba hizo mbili za 4 na 5. Sisi Chelsea tuna uhakika wa namba 3. Kama anachukia mwambie ameze wembe au ale pilipili wivu yake itapungua

Mwisho wa Msimu utaibika hapa
 
Swali ambalo sina jibu kwa nini kule Dotmund hakuwa anaanza na hata sub alikuwa akizipata chache?
Sancho alimuweka benchi. Pulisic ni mchezaji mzuri ni swala la muda tu. Sitaki kuamini uwezo aliouonyesha timu ya taifa ulikua wa muda.

HAJAAMINIWA TU
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom