Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkuu wanaombeza Odoi si Chelsea fan. Mimi nilichocomment tu ni mshahara wake hauebndani na brand yake ya sasa. Alitakiwa angalau aanze na laki moja, hii ya laki 180,000 halafu kuna uwezekano mkubwa asitumike sana ni ubadhirifu wa pesa na kuwakatisha tamaa wenzake kama akina Tomori, Reece, na Mount plus hao academy wengine ambao wanacheza vizuri kuliko yeye.

Kuhusu mashabiki kugeuka kugeuka ndio ushabiki wenyewe. Mchezaji anasifiwa na kutiwa moyo anapocheza vizuri akitibua anasakamwa ili aondoke au arudi kwenye form. Mimi ni mmojawapo wa mashabiki ambaye naweza kumsifia asubuhi akicheza vizuri na kumponda jioni akiboronga. Ushabiki umebeba sehemu kubwa ya afya zetu. Pressure ya nini
Willian kwa mfano na Alonso wakati wa Sari waliboronga sana. Lakini kwa huu mfumo wa Lampard na pia kwa pressure ya Lampard naona Alonso na Willian wamerudi kwenye form yao nzuri.
So mkuu wala isikupe shida, hata wewe kesho Odoi akiboronga utakuwa wa kwanza kumponda na kumtaka kocha amweke benchi. Kwa umri wake tumuombee acheze vizuri na form yake izidi kuimarika kwa sababu anazo talents nzuri ambazo Chelsea itazihitaji sana
Kumsakama au kumwekea pressure mchezaji hakumsaidii mchezaji wala timu bali kunamuua kabisa. Ndo maana makocha wengi welevu huwa wanawakingia vifua wachezaji wao hata kama hawaderivi, nafikiri wewe ni shahidi Wa alichofanya Lampard kwa Tammy wakati ligi inaanza
 
Tammy Tammy Tammy dah leo angetakiwa atoke na goal 2. Huyu bwana mdogo sio wa kumuamini sana.
Hivi mpira uliufuatilia kweli
Tammy is so dangerous hata asipofunga. Uwepo wake mbele umeshaproove kuwa defence ni rahisi kukatika hovyo kwa kumhofia. Kijana pia ni mzuri sana kwa loose balls. Mimi kwa maoni yangu tuko vizuri mbele isipokuwa siku Barkley akiwa poor
 
Barcelona baada ya Willian kuanza season vizuri, wamebip, wanamtaka Willian bure
Barcelona could look to sign Chelsea winger Willian after tracking the Brazilian for years, according to Mundo Deportivo.
 
"WE KNEW LIVERPOOL WON AGAIN" - GUARDIOLA ADMITS MAN CITY CANNOT DROP MANY POINTS IN TITLE RACE:

Pep Guardiola admitted the thought of losing more ground on Liverpool played on his mind as Manchester City dug deep to claim a 3-1 win at Everton.

The reigning champions headed into Saturday's Premier League clash at Goodison Park eight points behind Liverpool, who beat Sheffield United 1-0 in the day's early kick-off.

Dominic Calvert-Lewin cancelled out Gabriel Jesus' opener before half-time, but Riyad Mahrez caught out Jordan Pickford from a free-kick 71 minutes in and Raheem Sterling made sure of the points.

With the gap at the top back to five points after seven matches, Guardiola acknowledged the pressure is on his side to keep pace with last term's runners-up.

"We knew Liverpool won again and the gap was eight points, so big," Guardiola said at his post-match news conference.

"So, we won three points and it's five [points] in September, with a lot of points to play for.

"We know which team we're playing right now - they are seven victories in a row, champions of Europe and playing good football.

"This is our rival and we know we can't drop too many points because last season they lost just one game.

"The season is long, we have to keep going and be there, maybe we can push them a little bit more and try to make the third Premier League in a row."

Ederson produced a couple of impressive second-half stops to help City on their way to a fourth win on the bounce in all competitions, much to the delight of Guardiola.

[https://pbs]

Premier League

[emoji818]@premierleague

And after all that, here's how we stand... #PL

[https://pbs]

3,855

9:43 PM - Sep 28, 2019

Twitter Ads info and privacy

925 people are talking about this

"He saved two incredible chances at 2-1 and it was a good game of football," he added.

"We were absolutely outstanding. At Goodison Park it's always difficult - we started incredibly well as usual, we created chances and scored.

"After that we had a lot of problems to control out left side with Gylfi Sigurdsson, they had one more player there, we had a lot of problems.

"In the second half, except set-pieces and conceding free-kicks and long balls we played good."

Everton winger Theo Walcott was taken from the field on a stretcher in the opening stages of the match after blocking Sterling's cross with his face.

Walcott was taken to hospital but Marco Silva confirmed after the game that the 30-year-old had been discharged.

"He's already in our dressing room," Silva told reporters. "He's okay, he's taking his shower and will go home to rest.

"He had a scan [at the hospital]. Up to now everything is okay. We're just waiting to speak more to the doctor."

Screenshot_20190929-080131.jpeg
 
Tofauti ipo tenza sana
Wakati wa Sari tunamiliki mpira 80% halafu hakuna shorts
Wakati wa Lampard tunamiliki mpira kiasi, short lukuki na short on targhet
Kugonga nguzo nk ila goli adimu

Lakini wakati wa Lampard Champion League mtaisikia tu. Wakati wasari muliweza pata nafasi ya kushiriki champion league
 
Hahaha ukiangalia ukimtoa liver na city hawa wengine wote hali zetu zinafanana so ukisema chelsea inahali mbaya vipi spurs,man utd, arsenal halinzao zikoje
Ndio kwanza tuko mechi ya 7 bado kuna mechi 31

Mark my word chelsea anaingia top 4
Lakini wakati wa Lampard Champion League mtaisikia tu. Wakati wasari muliweza pata nafasi ya kushiriki champion league
 
Chelsea fan boys tuwe na subira naomba tumuamini Lampard. Baada ya muda nadhani Pulisic ukifika muda atapata playing time ya kutosha na atatuprove wrong kwa Lampard kwa nini hamchezeshi sasa. Lakini siwalaumu ni kwa sababu hatujui knachoendelea training grounds na dressing rooms.

Klopp didn't play Fabinho after Liverpool signed him.. Look at Fabinho now

Pep didn't play Mahrez when he first came to City.

Even Laporte didn't play every game when he came to City.


On top of that Pulisic has played alot


32 minutes against Man United
70 minutes against Leicester
84 minutes against Norwich
90 minutes against Sheffield
90 minutes against Grimsby


And it is clear he hasn't adjusted to English football yet

Look at Hudson-Odoi
After long term injury
Back in team it has taken in 1 full game and 30 minutes in PL to show his quality.



PULISIC NEEDS TIME AND LAMPARD IS DOING THE RIGHT THING
 
Rochdale AFC kikosi kizima kina thamani ya £2.23 mil. lakini Kimeruhusu goli moja(1) tu! old Trafford
.
Kepa tuliyemnunua kwa thamani ya £71.6 mil. alikung'utwa goli zake nne(4) safi! Old Trafford
.
Umegundua nini?
FB_IMG_1569752739965.jpeg
 
Toka msimu wa mwaka 1978-79 hakuna golikipa yeyote wa Chelsea aliyeruhusu magoli 13 ndani ya mechi 6 za mwanzo za league zaidi ya kipa ghali duniani kepa (€80mil.)[emoji16]
.
FB_IMG_1569752923720.jpeg
 
kepa ndiye mchezaji pekee wa Chelsea ambaye ametoa mchango mdogo kuliko wote yaani 16% toka kuanza kwa msimu wa mwaka 2019/20
.
Vipi Chelsea wenzangu tuendelee kulipamba jeneza letu tukiamini marehemu atafufuka?
FB_IMG_1569753070696.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom