DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,878
Namimi pia najiunga katika ahadi hiiMimi ninakwenda na ahadi ya Aaron Arsenal Kuwa itakapofika December bado mupo ndani ya Top six basi mutabeba ubingwa
Namimi pia najiunga katika ahadi hiiMimi ninakwenda na ahadi ya Aaron Arsenal Kuwa itakapofika December bado mupo ndani ya Top six basi mutabeba ubingwa
Huyu barkley ni kiazi kwelikweliBarkley anawezaje kucheza Chelsea Motihno&Neves wapo wolves? ,nakiri Haya ni matumizi mabaya ya Chelsea
Mimi ninakwenda na ahadi ya Aaron Arsenal Kuwa itakapofika December bado mupo ndani ya Top six basi mutabeba ubingwa
Mnaanza kubadilisha maneno sasa. Huyo ndugu yako alitupa mechi 10 za kwanza na siyo mpaka December
Tomori ameprove kwamba Lampard alikuwa sawa kumuuza Luiz kwa ajili ya kumuacha nafasi
Hapo chini angekuwa Luiz tungeshalizwa penalty sio chini ya mbili au mabao ya kutosha. Tomori rating yake ilikuwa 9 wa pili Kante pointi 8 na wakafuatia wengine. Imekuwa desturi sasa hivi kila mechi Tomori anaibuka na rating kubwa kuliko wengine. Akiendelea hivi mpaka mwishio wa msimu Tomori atabeba Player of the year kwa Chelsea![]()
Halafu ushabiki mwingine utadhani ni watoto ndio wanabishanaMnaanza kubadilisha maneno sasa. Huyo ndugu yako alitupa mechi 10 za kwanza na siyo mpaka December
Wakibisha utanitag
Wakibisha utanitag
wewe ndio mjibga maana unatuonesha ujinga wako kwa kutumoa neno ujingaHuyu jamaa si mchezo, alafu kuna wajinga wanasema anachezeshwa namba isiyo yake
Ile ile ya Brighton alipiga vizuri kwani aliipiga kwa kasi zaidi ya ule upigaji wake wa kawaidaJoginho penati zake anavyopiga unashikilia moyo ni nzuri lakini zinaumiza kabla hajapiga.
Hakua na injury kubwa was just hamstring so anaweza kurejea #predictionKante amepona?