Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Karibuni, mechi ya Chelsea vs Liverpool itakuwa ngumu kuliko wengi wanavyodhani. Chelsea itakuwa very disciplined kwa kutambua our opponents are at a high level ila tambua hatutapaki basi maana hilo neno halipo kwa Lampard. Tutawashambulia na ninyi lazima mtajitahidi kushambulia.

Lampard anapenda yimu yake ifunge hata 4-2 kuliko 2-0. It's attack attack attack mwanzo mwisho.

Kwa wale wanaobeti chagueni both teams to score. Ukiibetia Liverpool ku-win au Chelsea kuwin utakuwa kwenye pressure dk 90 zote za mchezo

Haya ni maneno ya kishujaa.

First two games; vs Man Utd na Liverpool timu ilicheza vizuri sana, nikafikia kusema ngoja nione games 10, hasa mtakapokutana na middle table teams ambazo ni full kupaki bus.

Mpaka sasa naiona Chelsea nisiyoweza kuitabiri, hasa baada ya droo ya Leicester, ushindi wa tabu kwa Norwich (kulikuwa na easy goals na mnaachia sana nyuma), game ya jana sikuwa na concentration maana kulikuwa na game nyingi, nilikuwa naangalia ya Man Utd zaidi.

The two things I am banking on ni defense na forward zetu, katikati naacha iwe fair battle, especially kama Kante anarudi chini zaidi.
 
Ozil hajacheza mech yeyote ,laca kacheza mech 2, pepe ndio ameanza mech 2 ,

Subiri tuone mwisho wa msimu ndio ulinganishe

Kipind hicho ,ukiwa nafasi ya 10-15

Leo Everton ,arsenal na westham kesho wakishinda Unapelekwa nafasi yako ya 8-9

Yakiwa maandalizi next week utakapopigwa na Liverpool , na kurudishwa nafasi yako ya 10-15.
Kwa Ozil, Lacazete na Pepe tumpe msimu mzima lakini kwa KEPA unamuasses kwa mechi 2 tu, wewe kweli hazipo sawasawa
 
Huu ni mwanzo hata Leicester unaweza mkuta top four at some point. Don't be fooled, this is a league. Mwisho wa msimu nyie mna-compete for top four while Chelsea is already there. It is just fighting to maintain it's position and getting a silverware. Ila nyie ndo mnatafuta kufuzu champions league na hilo ndo kombe la Arsenal tangu 2002

Kwa hiyo msipokazana mtajikuta namba 6/7
Msimao baada ya vibvonde kunyooshwa leo
  1. Liverpool
  2. Mancity
  3. Spurs
  4. Man U
  5. Leicester City
  6. Chelsea
  7. Arsenal - mbio za sakafu zimefikia ukingoni na hapo ndipo mahali penu hadi mwisho wa ligi
 
Huyo jamaa akirudi hapa kabla ya Ijumaa ntakubali ni kiganganizi maana Alhamis Frankfurt anamtandika alafu J2 Aston Villa alafu kibaya zaidi beki ni Luiz
Leo Leno katobolewa ngapi?
 
AROON nimempa mechi 10 tu, baada ya hapo sina mjadala
Mechi 10 nyingi, tanki limeisha mafuta yamebaki maji tu, Arsenal imerudi hali yakle ya kiuwenda wazimu, Baada ya mechi 10 Arsenal itakuwa nafasi ya 10
 
Msimao baada ya vibvonde kunyooshwa leo
  1. Liverpool
  2. Mancity
  3. Spurs
  4. Man U
  5. Leicester City
  6. Chelsea
  7. Arsenal - mbio za sakafu zimefikia ukingoni na hapo ndipo mahali penu hadi mwisho wa ligi
Kabisa mkuu, Arsenal ni 6/7 maana Man U wanaweza kuingia transfer window na kujiimarisha ila Arsenal ni maskini, hawana hela, wanaishi maisha ya kijanja janja. Wao wanasubiri tu wachezaji wa pound million 2-10. Sasa hapo watafanya nn?
 
Baada ya Game ya West Ham nadhani huu utabiri utatimia

Auba si Mtu mzuri
Halafu we Ngwaba timu yako inafanya vizuri halafu unajichafua kwa Akina Aroon
ni sawa na kukaa high table mbele yako kuna wali kuku fresh na moto na matunda murua halafu unaanza kunusa nusa ugali maharage tena kiporo cha juzi Katika meza za akin a Aroon (Arsenbal ni kama kiporo cha ugali maharagwe in ayovunda)
 
David Luiz - Blue Always.jpg
 
Haya ni maneno ya kishujaa.

First two games; vs Man Utd na Liverpool timu ilicheza vizuri sana, nikafikia kusema ngoja nione games 10, hasa mtakapokutana na middle table teams ambazo ni full kupaki bus.

Mpaka sasa naiona Chelsea nisiyoweza kuitabiri, hasa baada ya droo ya Leicester, ushindi wa tabu kwa Norwich (kulikuwa na easy goals na mnaachia sana nyuma), game ya jana sikuwa na concentration maana kulikuwa na game nyingi, nilikuwa naangalia ya Man Utd zaidi.

The two things I am banking on ni defense na forward zetu, katikati naacha iwe fair battle, especially kama Kante anarudi chini zaidi.
Chochote kinaweza kutokea
 
Wakuu jana David luiz nimemkubali aisee nilikua namuona garasa wakati yupo chelsea ila jana kaniprove wrong.

David luiz hakutakiwa kabisa kuachwa aondoke Chelsea, ila kiburi cha lampard kujiona anajua kuliko kitamtokea puani msimu huu.Kuna wachezaji ni untouchable lazima akubaliane na hilo kwanza (eg Auba, Pogba,Hazard,D.luiz, et al )
Unamuonaje kwa leo? Siyo garasa? Luiz tumemtumia vya kutosha, sasa ameisha
 
Leo mmefufuka enheee

Ngoja kesho tuwarudishe nafas ya 8-9

Halafu next Liverpool awakarange

Mwisho wa msimu nafasi yenu 10-15

Halafu tunamchukua Tammy aje kama backup Ya lacazette

Maana tammy ni Arsenal fan , Chelsea anapoteza muda tuView attachment 1207792View attachment 1207793
Tikushamtumia kama luiz tutawapa tu ..msijali kuweni na subira kidogo..kazi ndo kwanza inaanza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom