Halafu we Ngwaba timu yako inafanya vizuri halafu unajichafua kwa Akina Aroon
ni sawa na kukaa high table mbele yako kuna wali kuku fresh na moto na matunda murua halafu unaanza kunusa nusa ugali maharage tena kiporo cha juzi Katika meza za akin a Aroon (Arsenbal ni kama kiporo cha ugali maharagwe in ayovunda)

Luiz vs Pukki

Mungu niepushe nisijeiangalia hii game kwani Pukki si Mtu mzuri

Madhara ya Pukki:

√ Kwa Liverpool katupia goli 1
√ Kwa Chelsea katupia goli 1
√ Kwa Man City katupia goli 1
√ Kwa Arsenal ?????????
 
Pep Guardiola: Tittle race is over

Baada ya kubamizwa jana na Norwich na baada ya kuona akina Stones na Otamendy hawana lolote ni kama akina Luiz, SK na SP wa Arsenal PEP asema mbio za ubingwa umeisha, Liverpool ni Mabingwa tayari. HONGERENI Liverpool kwa kupewa ubingwa hata kabla ya mechi 33
 
Leo mmefufuka enheee

Ngoja kesho tuwarudishe nafas ya 8-9

Halafu next Liverpool awakarange

Mwisho wa msimu nafasi yenu 10-15

Halafu tunamchukua Tammy aje kama backup Ya lacazette

Maana tammy ni Arsenal fan , Chelsea anapoteza muda tuView attachment 1207792View attachment 1207793
Unajua tunakuheshimu sana,ila tunakushangaa kwa kauli zako hizi huoni kuwa unajivunjia heshima yako kwakuongea maneno ya ajabu ambayo hata mtoto mdogo hawezi kuyaongea.
 
Luiz vs Pukki

Mungu niepushe nisijeiangalia hii game kwani Pukki si Mtu mzuri

Madhara ya Pukki:

√ Kwa Liverpool katupia goli 1
√ Kwa Chelsea katupia goli 1
√ Kwa Man City katupia goli 1
√ Kwa Arsenal ?????????
Huyu Pukki ndie kaipandisha Norwich daraja, akichukuliwa tu mwisho wa msimu kama Norwich bado ipo EPL basi msimu unaofuata ni kushuka daraja
Luiz atakula sio chini ya 2 na Harry Maguire lazima atobolewe
 
Huyu Pukki ndie kaipandisha Norwich daraja, akichukuliwa tu mwisho wa msimu kama Norwich bado ipo EPL basi msimu unaofuata ni kushuka daraja
Luiz atakula sio chini ya 2 na Harry Maguire lazima atobolewe

Huyu PUKKI mwenye sifa ya MUWA kuzeeka na Utamu wake atajiwekea Rekodi ya Kuzifunga Timu zote za Top 6.

Kawabakisha Spurs, Manure na Arsenal

Sijui kama yupo atakayemkosa hapo
 
Bado kuna watu watataka kuendelea kumfananisha Zouma na Fikayo?? kama hakuna kuanzia leo Zouma ni backup ya Tomori
ktk formation ya 3-4-2-1 Zouma hatapata nafasi labda ikitokea injury, na kwa formation hii hii Kovacic, Pulisic, Barkley hawatapata nafasi kwa sababu naona Lampard ameanza kumuamini Willian kama left wing
Kwa formation hii ya 3-4-2-1 line up main itakuwa

Team A
Tammy Abraham
Mount - Willian
Alonso - Jorginho - Kante - Azpi
Tomori - Christensen - Rudiger
Kepa
Team B
Giroud
RLC - Ordoi
Emerson - Jorginho - Kovacic - Reece
Tomori - Christensen - Rudiger
Kepa​
 
Kwahiyo ule mfumo wa mwanzo hatuuchezi tena majeruhi wakipona 4-2-3-1.

Tammy Abraham

Pulisic - Mount - Willan

Joginho - Kante

Emason - Rudger - Christensen - Azipu
Huu mfumo wa 4-2-3-1 Azpi anakuwa uchochoro
Mfumo wa 3-4-2-1 unabalance timu na mabeki wanakuwa protected zaidi. Pia wachezaji wazoefu kama akina Willian, Alonso, Azpi wanafit vizuri kwenye huu mfumo
 
Chelsea vs Valencia tomorrow
Tonny is injured
Reece James, Callum Hudson-Odoi and N'Golo Kante are all fit, but not match fit.
All other players are match fit
 
Ni kweli ila huu mfumo utaacha wachezaji wengi benchi kama masub.

Emerson
Kovacic
Barkley
Odoi
Cheek
Zouma
Pulisic
Reece
Giroud
Batshuay
Kama tunapata matokeo hata Kante akiachwa, all fine
Halafu ukumbuke lazima kuwe na timu A and B zenye intensity sawa kwa ajili ya EPL na UCL
Timu C itapambana na Karabao na FA
 
Chelsea na Valencia wanakutana kesho usiku kwenye Fainali za UEFA hatua ya makundi wakiwa na matokeo ya ligi zao zinazofanana kwa kukinzana

Chelsea wakishinda 5-2 dhidi ya Wolves ugenini
Valencia wakishindwa kwa 5-2 dhidi ya Barcelona ugenini
 
Back
Top Bottom