Aroon ndio mtu wa kwanza kupinda wachezaji wa Championship. Leo hii Pukki ana magoli 6, Tammy ana 7. Lacazigo ana ngapi?
Kweli kabisa BosiUshindi wa Jana unafanya hadi mmeanza kudharau legend wenu.
Huwezi fananisha Drogba na huyo dogo acheni matusi nyie. Dogo mwenyewe hajaonesha hata robo ya uwezo wa Costa.
Hangover ya Drogba inawatesa kama ilivyo ya Ronaldo na Henry kwa wengine.
Waheshimuni ma legend msifananishe na hivi vitoto bado wanasafari ndefu sana.
Huko nyuma tulisema haya
Ban italeta manufaa Zaidi kwa Chelsea > 200m saved
Kuondoka kwa Hazard kutaleta manufaa Zaidi kwa Chelsea
Hawa vijana tuwape muda watatupa raha
Huyo Pepe katoka kwenye ligi ambayo hata Championship ya akina Reece, Tammy, Mount na Tomori ni bora, huku EPL atapambana sanaKweli kabisa huyo pepe mwenyewe anacheza kama kuku amekatwa kichwa bora Iwobi alikuwa anafunga.
Shukrani Bosi wa Liverpool, wazee wa kabumbu murwa kabisa [emoji120]
Karibu karibu lazima tuwafunike magunia kichwani tuwapige marungu.
Huyo nishachoka maana Jana katobolewa mbili tenaNa Kepa utamfanyia tathimini lini?
Karibuni sana lakini kiuhalisia hatuna timu ya kuwazuia kiushindi ila kwa kuwa mpira hudunda uwanjani basi tuko tayari kimapambano.Tunakuja darajani next weekend, tukaribisheni.
Ozil hajacheza mech yeyote ,laca kacheza mech 2, pepe ndio ameanza mech 2 ,Lecazete + Ozil + Pepe jumla yao hawatafikisha magoli ya Mount. Huwa napenda kuanalyse na kuzungumza mapema, na wengi huwa wanapinga lkn napenda kuangalia vitu vingi. Mount na Abraham na Tomori wa wadogo lakini uwezo wao ni mkubwa sana
Kweli kabisa nakuunga mkono Kama ulivyosema hatuwezi kumaliza juu ya wolves, Leceister,everton yaani baada ya mechi 10 tukiwa top 6 tunachukua ubingwa, kazi yangu kubwa ni kuunga mkono
Tammy abrahama hata mil 10 hafiki
Morata dhamani yake mil Zaidi ya 70
Saa nyingine inabidi tu hizi ban tuwe tunaomba zije
Ushindi wa Jana unafanya hadi mmeanza kudharau legend wenu.
Huwezi fananisha Drogba na huyo dogo acheni matusi nyie. Dogo mwenyewe hajaonesha hata robo ya uwezo wa Costa.
Hangover ya Drogba inawatesa kama ilivyo ya Ronaldo na Henry kwa wengine.
Waheshimuni ma legend msifananishe na hivi vitoto bado wanasafari ndefu sana.
Sasa AROON anayeangalizia mpira livescore ukisikia anavyowa-hype Arsenal utadhani wachezaji wa maana. Mimi nilisema humu tangu Chelsea tuna timu ya ushandani regardless hatujasajiri au Hazard kaondoka. Na hata defensive errors it's because the players are starting to form the chemistry, Rudiger na Kante were injured. Lkn timu yetu itacompete huko mbele. Hatuko level moja na Liverpool or Man City lkn sisi ni wazuri kuliko Man U na Tottenham na Arsenal hii baada ya kumsajili Pepe na Ceballos wanatafuta kuwa na quality angalau ya Chelsea japo hawajafikia.Kweli kabisa huyo pepe mwenyewe anacheza kama kuku amekatwa kichwa bora Iwobi alikuwa anafunga.
Tunakuja darajani next weekend, tukaribisheni.
Kwa uelewa wako wa mpira unafikiri kwa nn katoboka?Huyo nishachoka maana Jana katobolewa mbili tena
Timu ya ushindani ipo ila bado ina mapungufu kadhaaKaribuni sana lakini kiuhalisia hatuna timu ya kuwazuia kiushindi ila kwa kuwa mpira hudunda uwanjani basi tuko tayari kimapambano.
Huu ni mwanzo hata Leicester unaweza mkuta top four at some point. Don't be fooled, this is a league. Mwisho wa msimu nyie mna-compete for top four while Chelsea is already there. It is just fighting to maintain it's position and getting a silverware. Ila nyie ndo mnatafuta kufuzu champions league na hilo ndo kombe la Arsenal tangu 2002Ozil hajacheza mech yeyote ,laca kacheza mech 2, pepe ndio ameanza mech 2 ,
Subiri tuone mwisho wa msimu ndio ulinganishe
Kipind hicho ,ukiwa nafasi ya 10-15
Leo Everton ,arsenal na westham kesho wakishinda Unapelekwa nafasi yako ya 8-9
Yakiwa maandalizi next week utakapopigwa na Liverpool , na kurudishwa nafasi yako ya 10-15.
A boy is living his dream. Hakuna mchezaji wa kuja Arsenal huko. Kumbuka Van Persie, Sanchezi, Ramsey, Cole, ...Auba in the way. Hakuna mchezaji anapenda kuharibiwa ndoto zake za kimpira na litimu la ovyo. Hata Giroud baada ya kuwin vikombe Chelsea ndo amedhihirisha kuwa Arsenal imemrudisha nyumaLeo mmefufuka enheee
Ngoja kesho tuwarudishe nafas ya 8-9
Halafu next Liverpool awakarange
Mwisho wa msimu nafasi yenu 10-15
Halafu tunamchukua Tammy aje kama backup Ya lacazette
Maana tammy ni Arsenal fan , Chelsea anapoteza muda tuView attachment 1207792View attachment 1207793