Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Jamani jamani maneno yenu haya mutakuja kuyakataa bora kwanza mungekaa kimya mukalisoma show!

Kuna Watu last season walisema hapa kuwa Hazard atafunga goli 30+ baada ya kuongoza kwa goli 7 kwenye michezo 5 kama hivi! Hatimae waliishia kutuattack pale tulipowakumbusha.

Huyo bado ni mtoto si wa kumuekea Matumaini makubwa kiasi hicho kwani anaweza poteana kabla ya December mukatamani asingelelewa Chelsea.

MIMI NIPO KWA AJILI YA KUKUMBUSHIA
Haya bana, na hasa tuna Imani naye kwa sababu ni mtoto angekuwa mzee kama Giroud tungekuwa na wasiwasi
 
Huenda akakosea utabiri kwa Mechi zote za leo
Kashakosea

emoji169.png
Norwich 2-6 Man City
emoji838.png
3-2

emoji837.png
Man Utd 1-1 Leicester
emoji1663.png
1-0

emoji191.png
Wolves 2-1 Chelsea
emoji841.png
2-5
 
!.Agueroman city7
2.Abraham T.Chelsea7
3.Pukki T.Norwich6
4.Sterling R.Manchester City5
5.Salah M.Liverpool4
6.Mane S.Liverpool4
7.Barnes A.Burnley4
8.Kane H.Tottenham3
8.Rashford M.Manchester Utd3
8.Vardy J.Leicester3
 
na Abraham anafunga team zilizopanda daraja afunge na wolves tumuone... Kweli tunakuelewa
Leo mmefufuka enheee

Ngoja kesho tuwarudishe nafas ya 8-9

Halafu next Liverpool awakarange

Mwisho wa msimu nafasi yenu 10-15

Halafu tunamchukua Tammy aje kama backup Ya lacazette

Maana tammy ni Arsenal fan , Chelsea anapoteza muda tu
IMG_20190915_012526.jpeg
IMG_20190915_012515.jpeg
 
Leo mmefufuka enheee

Ngoja kesho tuwarudishe nafas ya 8-9

Halafu next Liverpool awakarange

Mwisho wa msimu nafasi yenu 10-15

Halafu tunamchukua Tammy aje kama backup Ya lacazette

Maana tammy ni Arsenal fan , Chelsea anapoteza muda tuView attachment 1207792View attachment 1207793
Kweli kabisa nakuunga mkono Kama ulivyosema hatuwezi kumaliza juu ya wolves, Leceister,everton yaani baada ya mechi 10 tukiwa top 6 tunachukua ubingwa, kazi yangu kubwa ni kuunga mkono
 
Lacazete goal 7 atazifikisha baada ya mechi 15 alafu unasema Tammy awe backup ya Lacazete!?
Leo mmefufuka enheee

Ngoja kesho tuwarudishe nafas ya 8-9

Halafu next Liverpool awakarange

Mwisho wa msimu nafasi yenu 10-15

Halafu tunamchukua Tammy aje kama backup Ya lacazette

Maana tammy ni Arsenal fan , Chelsea anapoteza muda tuView attachment 1207792View attachment 1207793
 
Huko nyuma nilikuwa mimi na Kyatile tu nadhani ndio tulikuwa tunamteeta na kuwa na Imani na Tammy, wengi humu wakadai ni wa Championship, EPL hawezi kufunga hivi
Mechi 5 tu na Chelsea mbovu goli 7 je tukikamilika na akicheza game 38 itakuwa ngapi?
Nimeanza kumfuatilia Tamny kwa ukaribu zaidi mwaka jana alipokua Championship hasa alipokua anashindana magoli na Pukki. Binafsi yangu sijawahi kuwa na wasiwasi na huyu dogo wala kuwa na negative thoughts juu yake. Kabla hata msimu haujaisha niliweka bandiko juu ya Chelsea kuwapa nafasi wachezaji hawa watatu Tammy, Mount na Odoi matokeo ndio tunayaona.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom