Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 13,136
- 21,430
Hatuwezi kusave huo upupuSiku zenu zinahesabika za kupoteana Mark my words
Huyu Tammy Abraham na Tomori wenu mutakuja kuwakataa hapahapa
Sisi wengine time sharper once sana Madogo wanavyoibuka na kasi then wanaishia kupotea kusikojuilikana
Hata Christensen Msimu wake wa kwanza kuibuka alikipiga tukasifiwa kila sifa hapa! Sasahivi nadhani munajua hali Yake.
Save hii post kwa Future reference
Mkubwa Tammy miaka 21
Formation ya 3-4-2-1 ndio itapendeza sana. Yan almradi Barkley asianzePredicted starting XI
4-2-3-1
Kepa Arrizabalaga
Alonso - Tomori - Zouma - Azpilicueta (c)
Jorginho - Kovačić
Pulisic - Barkley - Pedro
Giroud
3-4-2-1
Kepa Arrizabalaga
Tomori - Zouma - Christiansen
Alonso - Jorginho - Kovačić- Azpilicueta (c)
Pulisic - Willian
Giroud
Tammy ni namba nyingine, Tomori ni namba tofauti na achana na Mount. Christensen umeona wapi akifanya ujinga? Nakushauri uangalie mechi ya leoSiku zenu zinahesabika za kupoteana Mark my words
Huyu Tammy Abraham na Tomori wenu mutakuja kuwakataa hapahapa
Sisi wengine time sharper once sana Madogo wanavyoibuka na kasi then wanaishia kupotea kusikojuilikana
Hata Christensen Msimu wake wa kwanza kuibuka alikipiga tukasifiwa kila sifa hapa! Sasahivi nadhani munajua hali Yake.
Save hii post kwa Future reference
Mwantesa Utd gundu sana, hamia Chelsea haraka iwezekanavyo usije kufa kwa presha bureIli litimu langu linanifanya hadi niwaze kujinyonga daah