Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,025
- 27,365
Aroon ndio mtu wa kwanza kuponda wachezaji wa Championship. Leo hii Pukki ana magoli 6, Tammy ana 7. Lacazigo ana ngapi?
Endelea kupiga kelele tu, baada ya mech 10 nitakuja kuwafanyia tathmin hapaAroon ndio mtu wa kwanza kupinda wachezaji wa Championship. Leo hii Pukki ana magoli 6, Tammy ana 7. Lacazigo ana ngapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa hivi unakuja kwa heshima na adabu. Unakuja na vikauli kama "tutafanya tathimini mwisho wa msimu"Endelea kupiga kelele tu, baada ya mech 10 nitakuja kuwafanyia tathmin hapa
By the way Lacazette kaumia ,lkn tutawafananisha na hao watu mwisho wa msimu , Mpaka sasa ana goli 2
Hakuna aliyemfananisha na hakuna aliyesema Drogba kadharauliwa nadhani ni mihemuko yako inakupelekea kuhisi hivyo.Ushindi wa Jana unafanya hadi mmeanza kudharau legend wenu.
Huwezi fananisha Drogba na huyo dogo acheni matusi nyie. Dogo mwenyewe hajaonesha hata robo ya uwezo wa Costa.
Hangover ya Drogba inawatesa kama ilivyo ya Ronaldo na Henry kwa wengine.
Waheshimuni ma legend msifananishe na hivi vitoto bado wanasafari ndefu sana.
ilikuwa ni 3-4-2-1 waliocheza 3-5-2 ni WolvesNilivyoona lampard kubadilisha formation na akacheza 3-5-2 nikajua Leo tunaenda kushinda cos wolves wanakaba Sana na wanamtegemea counter attack kuwin game so lampard aliliona hili ndomaana akaja na huo mfumo wakuzuiya counter attack zao na kwel tukawafanya the way we want
Proudly brought to you by CHELSEAProudly being black, they insult us we give them happiness. Baba wa imani Tammy AbrahamView attachment 1207742
Hakuna aliyemdharau Drogba na wala Tammy kumpita Drogba haina maana kadharauliwa. Kwa umri wake wa miaka 21 na anaku hatari namna hii, sio tu kumfananisha na Drogba hata kumpita anaweza kumpita. Kwani Drogba alikuwa ni MUNGU?Ushindi wa Jana unafanya hadi mmeanza kudharau legend wenu.
Huwezi fananisha Drogba na huyo dogo acheni matusi nyie. Dogo mwenyewe hajaonesha hata robo ya uwezo wa Costa.
Hangover ya Drogba inawatesa kama ilivyo ya Ronaldo na Henry kwa wengine.
Waheshimuni ma legend msifananishe na hivi vitoto bado wanasafari ndefu sana.
Aroon ndio mtu wa kwanza kupinda wachezaji wa Championship. Leo hii Pukki ana magoli 6, Tammy ana 7. Lacazigo ana ngapi?
Lecazete + Ozil + Pepe jumla yao hawatafikisha magoli ya Mount. Huwa napenda kuanalyse na kuzungumza mapema, na wengi huwa wanapinga lkn napenda kuangalia vitu vingi. Mount na Abraham na Tomori wa wadogo lakini uwezo wao ni mkubwa sanaEndelea kupiga kelele tu, baada ya mech 10 nitakuja kuwafanyia tathmin hapa
By the way Lacazette kaumia ,lkn tutawafananisha na hao watu mwisho wa msimu , Mpaka sasa ana goli 2
Huo ndo mfumo sahihi wa Alonso kucheza. Tungecheza na mabeki wanne nyuma alafu Alonso ndo left back lazima tungeumia. Alonso is more of a wing back. So Lampard hapo katumia mfumo unaomfaa Alonso, ili nyuma tucheze na mabeki watatu.Nilivyoona lampard kubadilisha formation na akacheza 3-5-2 nikajua Leo tunaenda kushinda cos wolves wanakaba Sana na wanamtegemea counter attack kuwin game so lampard aliliona hili ndomaana akaja na huo mfumo wakuzuiya counter attack zao na kwel tukawafanya the way we want
Nafikiri hawajafananisha legacy yao bali ufungaji tu wa magoli. Inamhitaji Tammy misimu 5 angalau ili awe legend, ila hata wewe ukimwangalia Tammy unaona mambo makubwa. Siyo wa kulinganisha na akina Lacazete au Rashid au Martial au Lingard; they have nothing spectacularUshindi wa Jana unafanya hadi mmeanza kudharau legend wenu.
Huwezi fananisha Drogba na huyo dogo acheni matusi nyie. Dogo mwenyewe hajaonesha hata robo ya uwezo wa Costa.
Hangover ya Drogba inawatesa kama ilivyo ya Ronaldo na Henry kwa wengine.
Waheshimuni ma legend msifananishe na hivi vitoto bado wanasafari ndefu sana.
Na Kepa utamfanyia tathimini lini?Endelea kupiga kelele tu, baada ya mech 10 nitakuja kuwafanyia tathmin hapa
By the way Lacazette kaumia ,lkn tutawafananisha na hao watu mwisho wa msimu , Mpaka sasa ana goli 2
Sawa sawa ChifuNahisi majukumu yamemtinga
Hongereni wakuu.