Nilitaka kufukua post za AROON hapa ila baadae nagundua kuwa ni mpuuzi. So nimeziacha

Mnajisahau sana Chelsea. Leo matatizo yenu yote na matusi mliyokua mnatoa kwa timu yenu game 1 mpaka 3 mmesahau jifunzeni kuweka akiba ya maneno na nyinyi bado timu lenu ni bovu msimu huu mko hovyo ushindi wa Leo usiwape kichwa hali yenu bado ni mbaya tu.
Tukutane game week 6 tuone kama MNA consistency hii bado
 
Siyo kipa mbovu, kama umeangalia mpira. Acha kuangalia mpira kwenye comments za livescore. Jitahidi kuangalia mechi.

Pale nyuma kuna matatizo ya kiulinzi, mfano mpira wa pili kipa anausave, unapigwa tena kabla hajaamka ila beki wawili wanauruhusu unaingia wavuni. Goli la pili limetokea kwa Zuma na Tammy alikuwa amezubaa. Subiri Kante apone, Rudiger apone alafu mwisho wa msimu tusajiri center back
Tuna KIPA MBOVU sijapata kuona
 
Ndo ujue sasa huyo jamaa hana akili. Kama Wolves kacheza mechi nyingi basi hakupaswa kusema Wolves NI LAZIMA ASHINDE
Wwe ulijihakikishia kabisa wolves anashinda leo tena unakuja na porojo za wolves kucheza mechi za kufuzu,,kabla ulkua hujui kuwa kacheza izo mechi!?
 
keppa
Screenshot_20190914-193107_1568478697277.jpeg
 
Kweli mkuu, na hao top 5 kuna wawili watamaliza nyuma ya Chelsea. Arsenal wanapiga kelele sasa hivi tu, muda wa kilio haujaanza
Huko nyuma nilikuwa mimi na Kyatile tu nadhani ndio tulikuwa tunamteeta na kuwa na Imani na Tammy, wengi humu wakadai ni wa Championship, EPL hawezi kufunga hivi
Mechi 5 tu na Chelsea mbovu goli 7 je tukikamilika na akicheza game 38 itakuwa ngapi?
 
Nazan kuingia kwa barkley kumebadilisha mchezo kabsa, tukaanza kuzidiwa... barkley mule hakuna mchezaji, hajui kukaba,handling football hawez... ni useless kama bakayoko
I totally disagree
Chelsea bado wanatabia ya laana ya kipindi cha pili, wachezaji almost wote wanakuwa wamechoka
 
Siyo kipa mbovu, kama umeangalia mpira. Acha kuangalia mpira kwenye comments za livescore. Jitahidi kuangalia mechi.

Pale nyuma kuna matatizo ya kiulinzi, mfano mpira wa pili kipa anausave, unapigwa tena kabla hajaamka ila beki wawili wanauruhusu unaingia wavuni. Goli la pili limetokea kwa Zuma na Tammy alikuwa amezubaa. Subiri Kante apone, Rudiger apone alafu mwisho wa msimu tusajiri center back

Tafuta Saves za kipa wa Leista leo uje ulonganishe na hilo garasa
 
Wameshachoka wamecheza mech karibu 10 ,6 za kufuzu Europa , na za preseason ,

Ni sawa na kilichomtokea Burney , alicheza mech karibu 9 zikiwepo zakufuzu Europa , alipokuja EPL alipotea sana

Ndio kinachomkuta wolves

Nakuona mtetezi. Leo sijui upo upnde gani baada ya wolve kufungwa.

Asubuhi ulileta tabiri zako zile za mdomoni. Mpira unachezwa uwanjani mkuu
 
Back
Top Bottom