Nimeangalia msimamo katika Michezo 5 Wolves hajashinda hata mmoja na yupo kwenye Relegation zone.

Kumbe haki yenu kujipigia hili ni anguko la Wolves
Wameshachoka wamecheza mech karibu 10 ,6 za kufuzu Europa , na za preseason ,

Ni sawa na kilichomtokea Burney , alicheza mech karibu 9 zikiwepo zakufuzu Europa , alipokuja EPL alipotea sana

Ndio kinachomkuta wolves
 
Mlisema tunashindwa kupata point kwa timu iliyopanda daraja, leo tumepata point kwa huyu mzoefu bado hamjaridhika.

Hawa ndio walimwengu hata ufanye nini watasema tu.
 
Hahaaa.. Kuna screenshot ya maneno yako ninayo niliitunza. Nakuletea huko huko kwako,
 
Wameshachoka wamecheza mech karibu 10 ,6 za kufuzu Europa , na za preseason ,

Ni sawa na kilichomtokea Burney , alicheza mech karibu 9 zikiwepo zakufuzu Europa , alipokuja EPL alipotea sana

Ndio kinachomkuta wolves
Wwe ulijihakikishia kabisa wolves anashinda leo tena unakuja na porojo za wolves kucheza mechi za kufuzu,,kabla ulkua hujui kuwa kacheza izo mechi!?
 
Mlisema tunashindwa kupata point kwa timu iliyopanda daraja, leo tumepata point kwa huyu mzoefu bado hamjaridhika.

Hawa ndio walimwengu hata ufanye nini watasema tu.

Najua ushindi wa leo utawafanya musahau kila kitu na kuona hamuna tena weakness kwenye timu yenu lakini bado tupo hapa kuwashuhudia mwenendo wenu
 
Huyu atafuata Nyayo za Sturridge tu!

Liverpool haibebi Makombe, Lakini Strurridge aliikimbia Chelsea inayobeba Makombe akaja Liverpool isiyobeba Makombe hatimae tukamzawadia UCL.

Na huyu siona Lampard akimuanzia kila mechi kama kina Pulisic, Mount, Abraham wataendelea kuwa On Fire!

Kwahiyo natarajia sana hatoongeza Mkataba mpya na hatimae atamfata Kakayake Sturridge kuja Liverpool kupata Minutes nyingi zaidi na Kubeba UCL
Alibeba UCL kwanza na Chelsea ndipo akaja kubeba nanyi baada ya kusota sana na kashachoka.
 
Made in Chelsea
FB_IMG_15684780238029861.jpeg
 
Back
Top Bottom