ryana fan
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 2,632
- 3,063
Nimeangalia msimamo katika Michezo 5 Wolves hajashinda hata mmoja na yupo kwenye Relegation zone.
Kumbe haki yenu kujipigia hili ni anguko la Wolves
Maneno ya mkosaji
Nimeangalia msimamo katika Michezo 5 Wolves hajashinda hata mmoja na yupo kwenye Relegation zone.
Kumbe haki yenu kujipigia hili ni anguko la Wolves
Barkley huyu wa Chelsea binafsi sijawahi kumuelewa...Nazan kuingia kwa barkley kumebadilisha mchezo kabsa, tukaanza kuzidiwa... barkley mule hakuna mchezaji, hajui kukaba,handling football hawez... ni useless kama bakayoko
Tafuta Saves za kipa wa Leista leo uje ulonganishe na hilo garasa
Mpige Wolves goli tano ..acha kelele apa....Kumbe unabishana? Ndio maana hunaga hoja
Chelsea ni timu ndogo ,ndio maana sasa inarejea ilipotoka
Chelsea hata kimafanikio humkuti Astonvilla
Nakupa homework katafute. ,Most succesfull teams in the world.
Chelsea haipo hata 20 bora
Dah yani cjui itakuwaje mkuu ...hii Chelsea tupe muda ..mambo mazuri yanakuja[emoji3][emoji3][emoji3]Apo kuna watu wakirudi cjui itakuaje odoi na leftos cheek ,,na ngolo kante
Hahaha hahaha tungefungwa mungesemaje tena hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wameshachoka wamecheza mech karibu 10 ,6 za kufuzu Europa , na za preseason ,
Ni sawa na kilichomtokea Burney , alicheza mech karibu 9 zikiwepo zakufuzu Europa , alipokuja EPL alipotea sana
Ndio kinachomkuta wolves
Kwa lugha nyingine ngoja tuwaite ma ZUMBUKUKU yameshindwaWalileta na quote za yule shabiki uchwara wa Arsenal Charlie Nicholas wakidai Chelsea itafungwa 2-1, sasa wanakuja na visababu vya Europa
Tammy ana hat trick ..Salah na Mane bado.Yani Wolves hawa ninaowajua mimi leo wamekuwa wananyanyaswa hivi Nyumbani kwao! [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]
Mnajisahau sana Chelsea. Leo matatizo yenu yote na matusi mliyokua mnatoa kwa timu yenu game 1 mpaka 3 mmesahau jifunzeni kuweka akiba ya maneno na nyinyi bado timu lenu ni bovu msimu huu mko hovyo ushindi wa Leo usiwape kichwa hali yenu bado ni mbaya tu.
Tukutane game week 6 tuone kama MNA consistency hii bado
Najua ushindi wa leo utawafanya musahau kila kitu na kuona hamuna tena weakness kwenye timu yenu lakini bado tupo hapa kuwashuhudia mwenendo wenu
Walileta na quote za yule shabiki uchwara wa Arsenal Charlie Nicholas wakidai Chelsea itafungwa 2-1, sasa wanakuja na visababu vya Europa
Aya sasa walete walete mamlukiii
Uyu Tammy huu msimu anaeza fikisha goli 20+
Apo bado ajazoea ligi ...hahaha
Away Mbweha jana walilala baa nini[emoji23][emoji23][emoji23]
Kila la kheri Chelsea [emoji170][emoji170][emoji170]
Huko nyuma nilikuwa mimi na Kyatile tu nadhani ndio tulikuwa tunamteeta na kuwa na Imani na Tammy, wengi humu wakadai ni wa Championship, EPL hawezi kufunga hivi
Mechi 5 tu na Chelsea mbovu goli 7 je tukikamilika na akicheza game 38 itakuwa ngapi?
Huyu hapa ndie Sangoma wa Arsenal na akina Aroon wanamuamini sana
Lampard geneousity Leo Kaja na mfumo konki bado kitambo kidogo tutashangaza epl
Wewe tulia kama ulivyo..Jamani jamani maneno yenu haya mutakuja kuyakataa bora kwanza mungekaa kimya mukalisoma show!
Kuna Watu last season walisema hapa kuwa Hazard atafunga goli 30+ baada ya kuongoza kwa goli 7 kwenye michezo 5 kama hivi! Hatimae waliishia kutuattack pale tulipowakumbusha.
Huyo bado ni mtoto si wa kumuekea Matumaini makubwa kiasi hicho kwani anaweza poteana kabla ya December mukatamani asingelelewa Chelsea.
MIMI NIPO KWA AJILI YA KUKUMBUSHIA