Nawahakikishia kwa Asilimia 101% Kepa hatomueka bench De Gea

Kugaiwa game ya juzi aanze haimaanishi kuwa ndiyo Kipa Namba moja.

Hata Pepe Reina kuna game alikuwa akigaiwa aanze mbele ya Casilas then De Gea
 
Emerson kaumia huko Kwenye game ya Azuri inayoendelea injuries zinaongezeka
 
Nawahakikishia kwa Asilimia 101% Kepa hatomueka bench De Gea

Kugaiwa game ya juzi aanze haimaanishi kuwa ndiyo Kipa Namba moja.

Hata Pepe Reina kuna game alikuwa akigaiwa aanze mbele ya Casilas then De Gea
Ndio mdogo mdogo inaanza hivyo, Hata De Gea alimnyang'anya Casillas namba moja kidogo kidogo sio kwa haraka namna hiyo. Kwa hiyo wewe poa na wivu zako utazoea tu!
 
Faida ya Alonso anafunga,
Hasara yake anasinzia na kuwa uchochoro
Sasa ukimchanganya Azpi kulia na Alonso Kushoto timu za Counter attack kama Wolves zitakuwa zinashuka kama radi
 
Bado ungeweza kutoa maoni yako bila ya kejeli na dharau. Huyu ni mdogo anakua. Luiz hakufikia alipofikia overnight, naye alikuwa akakomaa with time. Tomori kwa walioona uchezaji wake in the near future atakuwa better than Luiz na hii sio joke ni facts. Ila kwa wasiomfuatilia kama wewe mtaendelea kumuona takataka
mpira haupo hivyo kaka daaaahhhh yaani kama ingekuwa hivyo hawa kina wilshare,lallana,dyabala,na wengine wengi wangekuwa world class player leo hii...wewe panga na wakati utasema ,tutakuja kukumbushana hapahapa
 
Italy manager Roberto Mancini on Emerson injury: "It was nothing serious, he stopped to ensure it didn’t get any worse” #CFC
 
mpira haupo hivyo kaka daaaahhhh yaani kama ingekuwa hivyo hawa kina wilshare,lallana,dyabala,na wengine wengi wangekuwa world class player leo hii...wewe panga na wakati utasema ,tutakuja kukumbushana hapahapa
Dybala naye umemuweka kundi moja na kina Lallana? Bro u serious
 
Ndio mdogo mdogo inaanza hivyo, Hata De Gea alimnyang'anya Casillas namba moja kidogo kidogo sio kwa haraka namna hiyo. Kwa hiyo wewe poa na wivu zako utazoea tu!

De Gea atarithiwa na Kipa ambaye yupo Academy ya Real Madrid
 
WORST GOALKEEPER IN EPL

Kepa Arrizabalaga has the worst save percentage in the Premier League this season (44%), he is the only GK to have saved less than 50% of the shots he’s faced.

Chelsea could really use him kicking on after a strong international break.
IMG_20190909_171722.jpeg
 
Goalkeeper pekee mwenye ballon D'or Levy Yashin aliwahi kusema mwaka 1966;

"a good enough goalkeeper is measured through his task which is only goalkeeping. "

FIFA hawajaangalia kigezo cha clean sheets as a priority bali wameangalia total saves pamoja na save percentage (%) kwa ujumla ambazo ndio moja ya task kubwa kwenye goalkeeping.
-
Wengi wa mashabiki wa Chelsea wanaamini kwamba Jan oblak, na De gea kuwekwa bora au juu ya kepa wamependelewa kwa kuwa hawakushinda kombe lolote last season tofauti na kepa kitu ambacho si kigezo cha FIFA kilichotumika kuwapata.
.
kama mnayo kumbukumbu nilishawahi kusema kepa sio golikipa bali tumeuziwa muanzisha mashambulizi..
.
 
We nenda kajibizane na Tottenham, Everton, Wolves, Leicester ndio level yenu mzee, hii level ya Uefa Champion, Europa, Maepl sisi tunabishana na Liverpool na Man u.

ACHA KUTUPOTEZEA MUDA FUKO WEWE.
Kumbe unabishana? Ndio maana hunaga hoja

Chelsea ni timu ndogo ,ndio maana sasa inarejea ilipotoka

Chelsea hata kimafanikio humkuti Astonvilla

Nakupa homework katafute. ,Most succesfull teams in the world.

Chelsea haipo hata 20 bora
 
Goalkeeper pekee mwenye ballon D'or Levy Yashin aliwahi kusema mwaka 1966; "a good enough goalkeeper is measured through his task which is only goalkeeping. "
FIFA hawajaangalia kigezo cha clean sheets as a priority bali wameangalia total saves pamoja na save percentage (%) kwa ujumla ambazo ndio moja ya task kubwa kwenye goalkeeping.
-
Wengi wetu mashabiki wa Chelsea tunaamini kwamba Jan oblak na De gea wamependelewa kwa kuwa hawakushinda kombe lolote last season tofauti na kepa kitu ambacho si kigezo cha FIFA kilichotumika kuwapata.
.
kama mnayo kumbukumbu nilishawahi kusema kepa sio golikipa bali tumeuziwa muanzisha mashambulizi..
.
Hivi we jamaa huchoki? Huoni aibu mzee? Ni mara ngap Kepsa kakuprove wrong na unakimbia husemi chochote kwake. Rekodi za msimu uliopita alikua top three ya magolikipa ambapo hata Leno hakuwemo. Sasa msimu huu umeanza naona kampeni imeanza tena. Naomba uje umfanyie takwimu mwisho wa msimu pia usimsahau na Leno
 
Back
Top Bottom