a Liverpool isiyobeba Makombe hatimae tukamzawadia UCL

Bila kusahau sisi ndio tuliomuuza Salah kwa kukosa Namba pale darajani
Screenshot_2019-09-14-16-57-41-1.png
 
Naambiwa mpaka sasa katika wale magolikipa wa timu 20 za premier league kipa ghali duniani kepa ndiye kipa anayeburuza mkia kwa kuwa na save percentage ndogo yaani (44%) huku magolikipa waliobaki wote wakiwa na save percentage (50%) na kuendelea.
-
Tusisingizie defence yetu kuwa mbovu kwamba ndiyo chanzo cha kepa kutokuwa bora, kwa sababu Ben foster ndiye kipa mwenye defence mbovu mpaka sasa EPL akiwa na Watford lakini save percentage yake ipo juu ya 50%.
-
Ama kweli nimeamini nyani hata umvalishe suti mkia utatokeza tu


LEO NI TAREHE 14/9/2019

WOLVES WANAHITAJI POINT 3View attachment 1207156

Si ukapost kwenye Arsenal
 
Kuna siku niliwaambia kuwa Washabiki wa Chelsea munapenda kuokota habari kwenye vijiblog vya kuokoteza mukabisha!

Ona sasa kocha gani atakayepanga kikosi kama hivyo?

Muwe munaangalia Source za Kuchukua habari.
Ni kosa la kimtandao wewe hiyo ni website ya uhakika. Ingekua ya kuokota basi isingekua na wachezaji sahihi wa Chelsea.
 
Tammy tayari ameshaprove kuwa ni striker mpaka sasa..

Kilichobakia ni kuwa na Consistency tu kwani ndiyo jambo gumu zaidi katika maisha ya soka.

Marahii ushindani wa Golden Boot unaweza ukawa Mkubwa sana kama wengine hawatopata injury au kupoteza Consistency

1) Aguero
2) Sterling
3) Pukki
4) Mane
5) Salah
6) Auba
7) Tammy
 
Back
Top Bottom