Naona manalipiza kipigo cha last seasonWhat a finish!! Studge anakamua cha pili...2-0 dk ya 50
bad defending, 2-1 fulltime
mkuu its game lakini mjitaidi..
Tores ... Amepoteza kwenda chelsea.... Iam sure akirudi kwenye team inayopiga soccer la kutuliza mpira chini + timu yenye vijana zaidi atarudi kwenye form
How sure are you?!
Huenda Chelsea walifanya makosa kumnunua maana kipindi cha mwisho alichokuwa Liverpool tayari alikuwa hajascore mechi kibao, lakini wakaamua kucheza kamari.sababu amekuwa flop alipokuja chelsea tu.. probably style ya uchezaji wa chelsea haiwezi ....
Huenda Chelsea walifanya makosa kumnunua maana kipindi cha mwisho alichokuwa Liverpool tayari alikuwa hajascore mechi kibao, lakini wakaamua kucheza kamari.
sababu amekuwa flop alipokuja chelsea tu.. probably style ya uchezaji wa chelsea haiwezi ....