E Chelsea, Valencia, Bayern Leverkusen, Genk
All the best watani.
Wenge Musica, twashukuru..lakini umeona jinsi Drogba alivyoanguka kama Swala aliyeonja shaba? Aisee walipoionyesha Slow motion, jamaa mawasiliano yalikuwa yameshakatika akiwa hewani na wala sidhani kama alivyoanguka kama gunia hata alisikia chochote..it is scary!
Hebu tucheki kipaji cha kifaa hiki.
RAUL MEIRELES - Liverpool - Goals, Skills, Emotions - 2010 / 2011 HD - YouTube
Ndivyo inavyokuwa wakikutana wanaume, haupatikani ushindi rahisi kama wa 8-2Hongereni kwa ushindi wa taaaabu.
Ndivyo inavyokuwa wakikutana wanaume, haupatikani ushindi rahisi kama wa 8-2
Ndivyo inavyokuwa wakikutana wanaume, haupatikani ushindi rahisi kama wa 8-2
<br />Ndivyo inavyokuwa wakikutana wanaume, haupatikani ushindi rahisi kama wa 8-2
Fernando Torres has risked the wrath of his Chelsea team-mates after blaming his barren goalscoring run on the club's 'very slow' and 'older' players. .... .... ... .... ageing side in recent seasons, with key quintet Didier Drogba, John Terry, Florent Malouda, Ashley Cole and Frank Lampard all over 30. ... ..