Masa, mimi nimependa comments za AVB kwamba Chelsea ya sasa haitategemea sana uwepo kwa individuals, yaani those big names like Terry, Drogba, Essien, Lampard na kama mnakumbuka miaka ya nyuma asipokuwepo either Lampard, Terry, Essien au Makalele basi chelsea ilikuwa lazima ichezee kichapo.
AVB is trying to create a group that wont depend on individuals, na hii ame-prove Jana. We all like Lampard na Terry to be involved in each game lakini bila wao pia we want chelsea to win.
Bulding a good team has a lot of things, la muhimu sana ni hili ambao AVB ana create katika Chelsea. I like his idea. AVB katuambia because ya game ya MAN U ndiyo maana aliamua ku rest key players lakini ki ukweli rotation ndiyo imeanza na hakuna mchezaji mwenye automatic pick just because he has a big name at chelsea: kwa AVB perfomance ndiyo itakupa number uwanjani.
Miaka ya nyuma usipomwona Terry, Lampard or Essien uwanjani katika big games kama ya jana basi unaanza kulia lia, lakini kwa Chelsea ya sasa its a different story.