Man U wanatishaaa....
Halafu huyu Peasant yeye kutwa kucha yupo jukwaa la Arsenal.......Leo wao wanacheza haonekani kwake....
Mkulima upo?
HT... Mmeshakanyagwa 3... mbaya zaidi hamuonekani.... (esp. Piss-AUNT) ...Come out and write something.... How do u feel???? Good huh!!!
Man U wanatishaaa....
Halafu huyu Peasant yeye kutwa kucha yupo jukwaa la Arsenal.......Leo wao wanacheza haonekani kwake....
Sijui ni mtu wa aina gani asiepapenda kwake..... Anakera sana.... Tumekuja kumtembelea yeye hayupo..... Rooney kakosa penalt, aliteleza........ Rudi basi ufurahie
mchungaji............ mafungo vipoi?
hawa Chelsea fanz ni watu wa kugonga keyboard kwa game za Arsenal....Mko wapi Nyie????????
Pamoja na kufungwa lakini still Chelsea wamecheza mpira mzuri,nafikiri bwana mdogo Villa Boas bado hajapata mbinu za kupambana na tactics za kina Fergie hasa kwenye defence
wamejitahidi sana Chelsea.... kama sie tulipigwa 8 wao wamepigwa 3 then huu ni kama Ushindi kwao against us.....It doesn't make a point though....we have both lost three pts....Ambacho sitasahau kwenye hii game ni
1. GOLI LA NANI
2. MISS YA TORRES
All of the above were SPECIAL.... nani anabisha???? HONGERENI SANA MAN U.... it can be a BEST season 4 u....Keep it up and keep on keeping Enjoying......
Watani poleni ila gemu ilikuwa tamu sana, kam Peasant alivyosema timu yoyote ingeshinda ile mechi kwa jinsi ilivyokuwa open.
AVB amenifurahisha kitu kimoja, alivyomtoa Lampard na kumuingiza Anelka.