Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wapinzani na majirani mmenifurahisha uwepo wenu hapa jamvini, enjoy your weekend....life is more than a game of footy!
Love u all.
 
This's absolutely poor if not wrong definition of newcomers! Huwezi kusema timu ni newcomers kwenye ligi kwa sababu tu hawana achievement kwenye hiyo ligi. Kwa definition yako unataka kusema kwenye EPL team zote ni newcomers isipokuwa Chelsea, Manchester, Arsenal na Blackburn!!!!!!! Pathetic thinking, really!!

They're new comers because they aren’t recognizable simple as that; you can judge that by winning and achievements. Based on those facts alone the term newcomer/boys will suffice. Whether one likes it or not. To say that’s pathetic thinking shows how ignorant one can be. khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Juan Mata kufanya medical na kuwa unveiled at Chelsea kesho. - Soccernet
 
UCL draw live from Monaco....
tuko POT 1 pamoja, tuone tuta-draw nani leo.
 
HahahahA! Carles Puyol analeta kombe kwenye stage, nimependa kivazi chake.
 
Luis Figo anaitwa stejini, anatoa experience yake kama winner.
 
Bert Vogts anaitwa kufanya draw ya kwanza, atakuwa pamoja na Figo ku-draw....Paul Breitner balozi wa Munich (Fainali itafanyika Munich) anatoa short speech.
 
Tumepewa Valencia kutoka Pot 2....Juan Mata will be going back to his former club.
 
The Blues legend Ruud Gullit anasogea kutoa experience yake na kufanya draw kwenye pot 3.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom