Questt
JF-Expert Member
- Oct 8, 2009
- 3,010
- 422
Nipo Alaska vipi hupendi? Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee natembea kwa ungo au hujui?
This is Why they do miss ur presence here bro!!!!!
Nipo Alaska vipi hupendi? Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee natembea kwa ungo au hujui?
We wacha1 uko Alaska kuna emirates stadium au home games gani hizo unazozungumzia?
Cheers mate! I just don't understand why should we labour to win this type of match! Anyway, this why EPL is very exciting!
Mwoga tu huyo, anazuga kwamba ni season ticket holder ndio maana mechi za Arsenal hawi jamvini....khe khe kheeeeeeeeeeeeee!!!!
he still hold the truth......
Mwoga tu huyo, anazuga kwamba ni season ticket holder ndio maana mechi za Arsenal hawi jamvini....khe khe kheeeeeeeeeeeeee!!!!
Twambie ukweli wewe basi? Khe khe khe khe khe niliona unalialia kama chiriku wakati mpo 1 down chacha pata magoli ya mdondo kono mbele. Its only West Brown new comers tena wana bahati mbaya maana Fungie baada ya kupanga ratiba alitaka mpate mchekeo mwanzo mwanzo lakini kwa mpira wenu mwaka huu tutaona mtakapofika mwambieni mafioso aongeza dau. khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee
Hongereni watani...
West Brom ni new comers? Weh Wacha1 weh.
Hongereni watani...
West Brom ni new comers? Weh Wacha1 weh.
Which truth?! Nina hakika ni wengi tu hapa wanakwenda viwanjani na bado wako live, yeye anashindwa nini pale library?!!
Jamaa mzushi mpaka basi!!!! Kila kitu anazusha ili kulizisha feelings zake!
Ili niwe nakutaarifu wewe peas of ant. Najua nawanyima raha sana, vidonge ninavyowapa vinafanya kazi nitaongeza dozi. Wasalimie, Rev Bandia Masanilo. Mungiki Brother, Rev kishoka, Elnino, Invisible, sanda Matuta et al bila kumsahau mzee wa udaku ingawaje yeye ni Manure ooops kumbe yupo hapa ataiona message mwenyewe. khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
Ulimwona Nasri alivyokuwa ana-smile baada ya kipenga cha mwisho pale Emirates?
pointi 2 muhimu, lakini not convincing to be honest.
Tuambie wewe mwenye good command of the language... Huwezi kuiita timu iliyoko kwenye EPL tangu 2002 newcomers.....Ulijifunza ki-english ngumbaru nini? khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
What do you know by the term ''new comers/boys'' au ki-english kinaanza kukupiga chenga? khe kh khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Tuambie wewe mwenye good command of the language... Huwezi kuiita timu iliyoko kwenye EPL tangu 2002 newcomers.....
kweli leo upo very excited!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Why not? What've they achieved?