lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,696
- 25,911
Sisi Gini alikosa Tuta against Man City tukanyamaza! Lakini nyinyi Mumeona bora Mumtukane Mchezaji wenu.
Hao ni wavuta bangi au mamluki, wametumwa kuharibu jina la klabu kubwa kama Chelsea
Sisi Gini alikosa Tuta against Man City tukanyamaza! Lakini nyinyi Mumeona bora Mumtukane Mchezaji wenu.
Mkuu wale wamama toka mechi inaanza mpaka inaisha walikua hawaishi kuonyesha mahaba yao na Liverfools. Yote kwa yote madogo walipambana masaa mawili.
Hao ni wavuta bangi au mamluki, wametumwa kuharibu jina la klabu kubwa kama Chelsea
Kwa walio angalia mpira huyu kijana mnamzungumziaje?
Anazidi kuwa peove wrong mataputapu yanayomponda.View attachment 1181809
Kitu ninachofurahi wapiga ramli wote wanafurahi tumefungwa ila hakuna silly comments zinazomuhusu Kepa. Lakini utashangaa baada ya siku mbili au tatu wanaanza tena kumponda.
Hayo wasema wewe. Kuhusu penalty dogo aluchexa mpira Adrian akamfata mwenyewe. Lakini pia ni faulo ngap alikua anafunika hachukui hatua yoyote?Jifanye kipofu tu! Kama yule dogo si Kudive mungelifika hayo Matuta?
Alivyowabeba vyote kuwapa Penalty bila ya kwenda Kureview kwenye VAR bado munasema kawaonea?
Basi ile haikuwa Penalty Ibrahimu alidive bila ya hata kuguswa.
Hawa vijana akina Pulisic, Tomori, Tammy, Mount bado wanakuja CHO, RLC na Reece, wapeni muda tu wazoee EPL mtapata raha mashabiki wa Chelsea
Point hii iwe mwisho kutufananisha na Arsenal. Mpaka hapo umeashiria tumewaacha mbali sana hawa vibonde wetu wa London.Beba angalau UCL 2 na Europa 3 na Super Cup 2 ili uthibitishe ukubwa wenu.
Ukubwa haupatikani kwa Kubeba rundo la FA na Carabao.
Mpaka sasa hawaongei.Muda utaongea mkuu. Naamini wanopiga kelele watashika pua tu
Mpka sasa na kufikia katikati ya msimu mapengo ya legend king Hazard na traitor D Luiz yataanza kuzibika tu ..
Pulisic anafanya kazi kubwa sana ..jana katoa assist moja ya heshima ...taratibu tutakuja kuona Lampard alifanya jambo jema kumruhusu msaliti luiz asepe zake..
In Lampard we turst yes We trust...
#KTBFFH..
We Ngwaba naona unashida na keyword ya "Chelsea timu kubwa", naona kwa mbali kawivu kanatokota moyoni mwako. Na wewe ukiitaji Liverpool weka "Liverpool timu kubwa sana" hapo utakuwa umekata ubishiBeba angalau UCL 2 na Europa 3 na Super Cup 2 ili uthibitishe ukubwa wenu.
Ukubwa haupatikani kwa Kubeba rundo la FA na Carabao.
Jifanye kipofu tu! Kama yule dogo si Kudive mungelifika hayo Matuta?
Alivyowabeba vyote kuwapa Penalty bila ya kwenda Kureview kwenye VAR bado munasema kawaonea?
Basi ile haikuwa Penalty Ibrahimu alidive bila ya hata kuguswa.
Weka swali vizuri mbona kama bado mnaumia sana luiz kuondoka? Kwann msi move on ,huo sio mwisho wa duniaNina swali kwa Aroon
Hivi mtu anayekula makombe anaweza kuwa bora kuliko yule anayetoa makombe?
Weka head to head arsenal vs Chelsea hapaPoint hii iwe mwisho kutufananisha na Arsenal. Mpaka hapo umeashiria tumewaacha mbali sana hawa vibonde wetu wa London.
Eti walau UCL 2, hahahaaa
Bas na ww umeshaonaga hilo ndio tusi kubwa, dah utoto taabu sana ,ukikua utaachaWanaume wamekaa wanajadili mambo muhimu ya timu yetu, wewe unapita mbele yetu na kanga moja imelowana maji