Hawa vijana akina Pulisic, Tomori, Tammy, Mount bado wanakuja CHO, RLC na Reece, wapeni muda tu wazoee EPL mtapata raha mashabiki wa ChelseaLakin pia Tomori hakuharibu alimama vizuri kwa kujiamini. Tunivunie kilichopo yajayoyanafurahisha.
Tuna timu bora, kinachotakiwa tu mbele na nyuma wamejaa vijana ambao wakipata uzoefu, itakuwa raha tupu, vijana ni wepesi japo wana error nyingi. Kama jana Christenses aliokoa mpira ambao angekuwa Luiz angeuachia tuNilisema humu Chelsea ndo timu ya viungo bora nyuma ya Man city. Hilo linazidi kujionyesha
Muhindi anahesabu matokeo ya dakika 90Yah si 2-2
Wewe wamekukula [emoji23][emoji23][emoji23]Yah si 2-2
Arsenal fans hakuna kitu wanajuaWengi wanaomponda ni wapumbavu na hawajui mpira. Hawawezi kutofautisha kipa mzuri na mbaya
Uko sahihi kabisa, ila naona makocha huwa wanamchagua mtu kulingana na anavyofanya kwenye mazoezi. Labda Tammy kufanya vizuri kwenye mazoezi ndipo akamuamini. Ile penalty alipiga bila ya confidence yeyoteJana Kepa haikuwa bahati yake tu ile penati ya Origi na kuna ingine alikuwa anachomoa kabisa.
Mim sjafurahishwa na kitendo na dgo Tammy kupewa apige wakati Luna wakongwe na wazoefu wa penati zenye presha kubwa kama ile. Tammy bado hana uzoefu na big competitions ndo kwanza ana anza..
Ila kwa pamoja sisi sote ni Chelsea tukubali tumeshindwa na Lampard pia Apache kukaza roho kiasi icho, anafanya maamuzi magumu yule kocha..
Bado tuna imani Chelsea inaweza kuwa bora sana Siku za mbeleni..
#KTBFFH..
Mkuu tena kama RLC ndio namuona Pogba ajaye. Mungu awaepushe hawa vijana na majerahaHawa vijana akina Tomori, Tammy, Mount bado wanakuja CHO, RLC na Reece, wapeni muda tu wazoee EPL mtapata raha mashabiki wa Chelsea
Nilijua anamallizia azplicueta penatiya mwisho
Hahaha
Sio mitatu, nashindwa kuielezea Chelsea ya mwakani ikiwa hivi hivi. Mwaka mmoja wakishapata uzoefu watakuwa moto hatari sana. Thanks to the ban, imeipa Chelsea nafasi ya kuvitambua vipawa vya academySema Lampard kuna kitu anajenga kwa hawa madogo ambacho kitakua na msaada sana. Jiulize Azpilicueta, Pedro, Kante wote hao walikua hawajapiga lakini kawapa madogo Mount na Abraham wawe moja ya wapiga penalty.
Miaka mitatu watakua siyo hawa tena.
Azipiculeta huwa anapiga penati za kibabe angepewa badala ya abraham
Ukweli ni kwamba Kepa ni kipa bora ktk umri wake huo na ndio maana ana maadui wengiKitu ninachofurahi wapiga ramli wote wanafurahi tumefungwa ila hakuna silly comments zinazomuhusu Kepa. Lakini utashangaa baada ya siku mbili au tatu wanaanza tena kumponda.
Ila Zuma wa jana alinifurahisha sana
Beki bora gani, VVD jana kamkumbatia Tammy utadhani ilikuwa ni mchezo wa mieleka, sijawahi kumuona beki bora duniani kama VVD anatumia mikono kuokoa mpira kwa kumkamata kwa mikono mshambuliaji. Ndio maana nasema Tammy an Mount wakishazoea EPL, hao akina VVD sio kitu watakuwa wanapitwa kama Lori la mkaaNadhani hiyo post iliwahusu walioangalia mpira kwa kuzingatia kikosi hakijakamilika kuna mistakes mbovu za mabeki tofauti na nyie mlio na beki imara pale nyuma.
Watazoeana wakiwa huko championshipSio mitatu, nashindwa kuielezea Chelsea ya mwakani ikiwa hivi hivi. Mwaka mmoja wakishapata uzoefu watakuwa moto hatari sana. Thanks to the ban, imeipa Chelsea nafasi ya kuvitambua vipawa vya academy
Lampard alimchagua Tammy kwa sababu ya Convidence, ameeleza hiyo baada ya mechi na kumsifia kwa hilo. Anasema mchezaji yeyote anakosa penalty, muhimu kwake ni ujasiri wa Tammy inatoshaJana Kepa haikuwa bahati yake tu ile penati ya Origi na kuna ingine alikuwa anachomoa kabisa.
Mim sjafurahishwa na kitendo na dgo Tammy kupewa apige wakati Luna wakongwe na wazoefu wa penati zenye presha kubwa kama ile. Tammy bado hana uzoefu na big competitions ndo kwanza ana anza..
Ila kwa pamoja sisi sote ni Chelsea tukubali tumeshindwa na Lampard pia Apache kukaza roho kiasi icho, anafanya maamuzi magumu yule kocha..
Bado tuna imani Chelsea inaweza kuwa bora sana Siku za mbeleni..
#KTBFFH..
Tuna timu bora, kinachotakiwa tu mbele na nyuma wamejaa vijana ambao wakipata uzoefu, itakuwa raha tupu, vijana ni wepesi japo wana error nyingi. Kama jana Christenses aliokoa mpira ambao angekuwa Luiz angeuachia tu