Kwanini?weka uchambuzi wako hapa sio matusiUna matatizo makubwa kichwani
Mkeka wa 3+ ulitoa?Kivip tena mkuu kwan mlishinda ngapi jana
Ndio kiongozi hongereni sana ..najua hamkutegemea kushinda kwa tabu kiasi icho ..may be mulitegemea mteremko kama aliyopata Manure ..ila uo mpira bana Ku assume kabla ya mechi ndo haifai..
Hongereni sana..
Sema Lampard kuna kitu anajenga kwa hawa madogo ambacho kitakua na msaada sana. Jiulize Azpilicueta, Pedro, Kante wote hao walikua hawajapiga lakini kawapa madogo Mount na Abraham wawe moja ya wapiga penalty.Jana Kepa haikuwa bahati yake tu ile penati ya Origi na kuna ingine alikuwa anachomoa kabisa.
Mim sjafurahishwa na kitendo na dgo Tammy kupewa apige wakati Luna wakongwe na wazoefu wa penati zenye presha kubwa kama ile. Tammy bado hana uzoefu na big competitions ndo kwanza ana anza..
Ila kwa pamoja sisi sote ni Chelsea tukubali tumeshindwa na Lampard pia Apache kukaza roho kiasi icho, anafanya maamuzi magumu yule kocha..
Bado tuna imani Chelsea inaweza kuwa bora sana Siku za mbeleni..
#KTBFFH..
Mimi sina wasiwasi Chelsea kuingia top four sasa. Ngoja Kante awe fit, Ludiger apone. Sasa kwa moto alionao Pedro itakuwaje Odoi akirudi? Willian atacheza wapi? Maana Mount na Pulisic wako onfire
Kwa walio angalia mpira huyu kijana mnamzungumziaje?
Anazidi kuwa peove wrong mataputapu yanayomponda.View attachment 1181809
Nadhani hiyo post iliwahusu walioangalia mpira kwa kuzingatia kikosi hakijakamilika kuna mistakes mbovu za mabeki tofauti na nyie mlio na beki imara pale nyuma.Mikono yote hiyo Still Kadunguliwa Misumari yote 5, Je angelikuwa na Mikono 2 tu kama Kipa wetu tuliyemuokota akiwa hana timu ingekuaje?
Yah si 2-2Mkeka wa 3+ ulitoa?
Bado Loftus namkubali dogo tuko vizuri ,ni muda kidogo watatuelewa ila wachezaji wetu wanapata injuries kwa urahisi haiwezekani Odoi,Loftus,N'golo,Willian,Rudiga wote wamepata injuries at the same kuna jambo haliko sawa
Hii comment naitunza maana ndo itakupotezaLampard atakuja kuwa kocha mzuri , anahitaji muda ,uvumilivu ,
Anatakiwa apate changamoto kwa kula vipigo kwanza akomae,
Next stop kwa Leicester sion mkitoboa
Nadhani tomori akisimama na Rudiger wataperform vizuri wote wana kasi kwenye kukaba na kumface adui. Hawana tabia za kukaba huku wanarudi nyuma
Kwa walio angalia mpira huyu kijana mnamzungumziaje?
Anazidi kuwa peove wrong mataputapu yanayomponda.View attachment 1181809
UEFA hata astonvilla anayo Unaiongelea cheltako ambayo hii imeanza 2005?
Bahati Mbaya Wachezaji Wanaotakiwa Uwanjani Kucheza ni 11.
Kwahiyo hata Wakiridi wote basi haitojalisha kama wote wapo On fire Bali wengine watalazimika Kukaa Bench ili wacheze 11 tu.