Kyatile
JF-Expert Member
- Feb 5, 2017
- 1,739
- 1,585
Lampard anaangalia performance ya kwenye mazoezi. Makocha wengine wanakuwa wamekariri watu wao. Si rahisi kwa kocha wa EPL kuwachezesha makinda wengi( Christensen, Tomori, Mount, Pulisic, Tammy) kwa wakati mmoja
Uko sahihi kabisa, ila naona makocha huwa wanamchagua mtu kulingana na anavyofanya kwenye mazoezi. Labda Tammy kufanya vizuri kwenye mazoezi ndipo akamuamini. Ile penalty alipiga bila ya confidence yeyote